Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia CCM, Haji Sande Manara, amesema kuwa hakuna mtu atakayetoka kuandamana kama baadhi wanavyodai kwenye mitandao ya kijamii.
Amesema ameshuhudia majaribio (demonstrations) ya Jeshi la Polisi likiwa limejipanga kwa nguvu kubwa, likitumia farasi wapatao...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere, ametoa wito kwa wananchi Mkoani humo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba 2025 kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema kila raia mwenye sifa ana haki na wajibu wa kushiriki katika uchaguzi huo, akisisitiza...
Akizungumza leo Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa kufunga kampeni kuu za CCM kitaifa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni mgombea ubunge wa Karagwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Bashungwa
Bashungwa amesema vijana wana nafasi muhimu katika maamuzi ya nchi, hivyo...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025.
Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.
Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa...
Wazee wa Tarafa ya Inchugu wameitisha Mkutano Mkuu wa kijamii (Litongo) usio na misingi ya kisiasa, wakitaka Serikali kusikia kilio cha jamii ya Wakurya kinachodai haki, amani na heshima kwa binadamu.
Wametoa tamko wakisisitiza kuwa hawana ugomvi na serikali, bali wanapinga vitendo vya uteki...
Katibu wa Umoja wa Wazee Mkoa wa Arusha na Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) Bw. Salim Ibrahim, amewaasa Vijana kutokubali kuwa chanzo cha kuvuruga amani kwani kuna maisha baada ya uchaguzi.
Chama cha Wazee kimewataka Vijana kutambua kuwa changamoto ni sehemu ya maisha na njia pekee ni...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba ya nchi na kwamba kila Mtanzania ana wajibu wa kushiriki...
Chama cha ACT-Wazalendo kimewataka Wanachama na Wafuasi wake kutoshiriki katika zoezi la kura ya mapema unaofanyika leo Oktoba 28, 2025, na badala yake wasubiri kushiriki Siku rasmi ya Uchaguzi wa Wananchi wote itakayofanyika Oktoba 29 Mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Taifa...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
"Ukiwa nao...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Shadrack Masija, amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 kwa amani utulivu na bila hofu yoyote.
Kamanda Masija amesema hayo...
Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 27, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema wananchi hawapaswi kuwa na hofu au kutafsiri vibaya muonekano wa vyombo vya ulinzi na usalama
“Wananchi wema hawapaswi kuogopa muonekano wa vyombo vyetu vya usalama bali wachukue...
Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, 2025, katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza kwa niaba ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashirika ya Kibiashara, Lightness...
Wagombea wawili wa ubunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani, wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Wagombea hao ni Bw. Waziri Towakali wa Chama cha The United People's Democratic Party (UPDP) na Bw. Kamana Masudi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya amewatoa hofu wananchi wa Mkoa Ruvuma kuwa limejipanga vizuri kuimarisha hali ya Ulinzi na Usalama wakati wa Uchaguzi na baada ya Uchaguzi.
Wito huo ameutoa Oktoba 26,2025 ikiwa ni muendelezo wa...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Kanisa la kweli la Bwana halibishani na Serikali kwakuwa Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu hivyo amewaomba Viongozi na Waumin wa Makanisa mbalimbali kudumisha amani.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema kuwa hawakatazi watu kukaa vikundi wakati ama baada ya kupiga kura kesho Oktoba 29 2025, kama watu hao watakuwa wanajadili mambo ya kawaida tu.
Balozi Sirro amesema itakuwa shida tu pale watu hao wanaokaa vikundi wakiwa na lengo la kutaka...
Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
CHAMA CHA AAFP WILAYA YA ARUMERU KINATANGAZA KUJITOA KATIKA MCHAKATO WA UCHANGUZI WA UBUNGE NA MADIWANI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI ΚΑΤΙΚΑ MAJIMBO YA ARUMERU MASHARIKI NA ARUMERU MAGHARIBI
Chama cha AAFP wilaya Arumeru, Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kujitoa katika mchakato wa uchaguzi wa...
Wananchi wa Kahama Mkoani Shinyanga wakiwemo Maafisa usafirishaji wanaotumia Pikipiki na Bajaji, Mama Ntilie, Machinga na wapiga debe wamebainisha maandalizi yao katika ushiriki wa uchaguzi Mkuu wa Jumatano hii Oktoba 29, 2025, wakisisitiza umuhimu wa Vijana wenzao kutotumika kisiasa na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.