Chama cha Walimu Mkoa wa Rukwa (CWT) kimewahimiza walimu wote kushiriki kikamilifu katika zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Rukwa, Mwalimu Doseph Ndalama, amesema chama hicho kinaendelea kushirikiana kwa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Mkoani Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema Jimbo la Kinondoni linahitaji watu wa kufanya kazi na siyo watu wa kujifunza kufanya kazi, akiwataka wananchi hao kumchagua ili kufanya kazi.
Akizungumza na wananchi Jimboni...
Wanabodi
Hizi ni Salaam kutoka Marekani kwa Watanzania.
Kiukweli kabisa, kuna watu ni Wazalendo kweli kweli kwa taifa lao,
nimerejea nyumbani kutoka ughaibuni na nimekutana na watu Wazalendo wa ukweli wa taifa lao, licha ya vitisho vya maandamano kuvuruga uchaguzi, bado mtu anafunga safari...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni
Jimbo la Kilosa
Jimbo la Mikumi...
Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au mbuzi?
Embu acheni ushamba wenu! Nyie dawa yenu imeshaiva jikoni subiri mnyweshe sasa...
Mambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Jijini Mwanza, Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ameeleza kuwa suala la uongozi wa nchi haizingatii Jinsia bali kwa Maarifa, kanuni, katiba na miongozo
" nchi...
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe.
Mbali na kuwakanya wamepewa na...
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo @actwazalendo_official Zitto Kabwe ameahidi kuwa chama chake kitakaposhinda nafasi ya ubunge na pamoja na kuwa na madiwani wengi kisha kuongoza Halmashauri ya Kigoma Ujiji kitaondoa michango yote mashuleni katika manispaa hiyo ambayo...
Hofu imekuwa kubwa sana yani polisi wamesambaza sana! Kuafanya hivi sio suluhu bali mtawafanya hata walikuwa wanania ya kwenda kupiga kura watashindwa kwenda kupiga kura kwa kuogopa kukamatwa!
============
Wajumbe wa kamati za Amani na Ulinzi na Usalama za Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna ambavyo Chama cha Mapinduzi (CCM) inaaminika na wananchi kwa kusikiliza na kutekeleza shida na...
Mawakala 94 wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, bado hawajaapishwa na kulazimika kuweka kambi katika ofisi za wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo.
Imeelezwa, zoezi la kuwaapisha mawakala lilifanyika Oktoba 22...
TAARIFA KWA UMMA TUPUUZE UPOTOSHAJI HUU Umoja Wa Vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa Wa Geita haujatoa taarifa yoyote kuhusu hili jambo, ni watu wachache wasioitakia mema jumuiya yetu pamoja na amani ya Nchi yetu.
Barua hiyo ambayo ilikuwa imelekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa ndani saa 24...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira.
Akizungumza...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kimefanikiwa kwa kufatiliwa na watu wengi Mtandaoni na umati mkubwa kuhudhuria...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL SHILLAH, amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limejipanga imara kuhakikisha linakabiliana na matukio ya ukiukwaji wa sheria yatakayojitokeza siku ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Akizungumza na Waandishi wa...
Sijui hata kwanini tunazungumzia maandamano, kwa sababu chama ambacho kinaweza kuita maandamano ni ACT tu, na sisi tunashiriki uchaguzi kupiga kura...."
Zitto Kabwe Mgombea Ubunge kupitia Act jimbo la Kigoma Mjini
Wakuu,
Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Geita umesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mkoa, Ndugu Manjale Magambo, kilichotokea usiku wa saa tatu, tarehe 24 Oktoba 2025, katika makazi yake yaliyopo eneo la Bombambili, Geita Mjini.
Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa...
Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.