uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Matonya: Hamu ya madaraka isiligawe taifa

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonya, amesema viongozi wa Tanzania wana wajibu mkubwa katika kuhakikisha amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu nchini, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza Jumatatu, Oktoba 27, 2025...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi: Wasiotaka amani ni watu wa ajabu sana

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha kampeni zake kisiwani Pemba siku ya Jumapili kwa kutoa ahadi kumi za kipaumbele ambazo amesema atazitekeleza endapo atachaguliwa kuendelea kuongoza serikali ya awamu ijayo. Akizungumza katika...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Wananchi wanaotaka kuandamana wasikilizwe haraka kabla ya Oktoba 29, 2025

    Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za kisiasia wasikilizwe haraka sana kabla ya Oktoba 29, 2025. Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Mgombea wa CHAUMMA aibukia mkutano wa ACT

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike. Sigrada...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Queen Darlin: Mungu angenipa uongozi ningewavunja vunja na ningewakata kata mnaotaka kuandamana, Mpeni Samia kura

    Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Uchaguzi usifanyike hadi Mahakama itoe uamuzi

    Luhaga Mpina, aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, leo Oktoba 27, amezungumzia rufaa yake aliyokata katika Mahakama ya Rufaa baada ya Agosti 6, 2025, kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa JTM. https://www.youtube.com/live/fHp9tErbuV4 Septemba 13, 2025 Tume Huru ya Taifa ya...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwambegele: Tumehakikisha wapiga kura wanapata vituo vya karibu

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum kwa ajili ya wakazi wa maeneo ya zamani ya Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo, zilizokuwa...
  8. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani kawapa CCM mamlaka ya kutuma SMS kwa watu, kuomba wakapige kura kwa Samia?

    Habari wana JF? Nianze kwa kusema naichukia CCM na watu wake, yaani nikisikia neno au sauti inatamka au kusema "CCM" napata kichefuchefu. Hii chuki yangu ni kwa sababu ya udharimu na unyonyaji ambao CCM imeufanya kwa zaidi ya miaka 40 na inaendela kufanya. Leo nimeamka nakutana na message...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Utu wa Rais Samia ndiyo nguzo ya amani ya Taifa

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake uliojengwa katika misingi ya utu, usikivu na maridhiano. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mtama wataka Waufungaji Wa...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima. Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenda kushiriki uchaguzi wakati kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo ni kukosa utu, Ni kukosa uzalendo na kukataa misingi ya haki

    Unadiriki vipi kutoka kwenda kupiga kura wakati huo kiongozi wa chama cha upinzani yupo jela akituhumiwa kwa kesi ya uongo ambayo hatma yake ni kunyongwa? Unathubutuje kutoka kupiga kura huku kuna machozi na vilio vya watu kila kona ya nchi ambao ndugu zao wamepotezwa? unaendaje kushiriki...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza aahidi kuwafuta machungu Wananchi wa Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Bonnah Kaluwa. Akizungumza Oktoba 26,2025 katika moja ya mikutano yake ya kampeni...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Msoganzila: Uchaguzi ufanyike kwa haki na amani. Nendeni mkapige kura

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila leo Oktoba 26, 2025 amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ili uwe wa haki na amani na kuwahimiza kwenda kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayeona anafaa kwa...
  15. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Naomba radhi wanaJamii Forums wa iq kubwa oktoba nitatiki

    Nimekaa nikawasikiliza wapinzani nikagundua jambo niwachonganishi na wana roho mbaya mfano ACT Wazalendo nimekaa pale Zanzibar miaka hiyo hao jamaa wanaroho mbaya yani wao mbara wanamuona kama adui ilihali watoto wao wanasoma bara puuzi kabisa hua namshangaa mbara ane washabikia hao mafedhuri...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Riziki Lulida: Tusiruhusu damu kumwagika, ni jambo baya sana

    Hata mimi sipendi kumwaga damu. Kwahiyo kama viongozi wanapaswa kuwasikiliza wa nchi ================ Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Riziki Saidi Lulida, ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kulinda misingi ya amani na mshikamano iliyojengwa tangu...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Malecela: Amani haina bei, na hakuna aliyeishika

    Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, John Malecela, amewaasa Watanzania kudumisha amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa hakuna kitu cha thamani zaidi ya amani. Pia, Malecela amewataka wananchi waendelee...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga kituo cha mabasi Mkuranga

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha wakazi wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania cha kukosa kituo kikuu cha mabasi, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi sasa kitajengwa katika eneo la Mkuranga mkoani Pwani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwandege...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa kamwe wasingethubutu kutishia raia kwa "Mimi ndiye amiri jeshi mkuu" au "Hakuna Nywi nywi nywi"

    Hata hali ingekuwa mbaya vipi upande wao kisiasa, kamwe hawa wazee wetu wasingethubutu kutishia wananchi kwa kutumia hiko cheo cha juu cha nchi hii ambacho kiuhalisia ni "Sacred Post". Labda endapo kungekuwapo na tishio la kikundi cha uvunjifu amani kama yale yaliyotokea Kibiti. Lakini kamwe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM, Manson Kimbo: Vijana tukosoe viongozi kwa heshima, tushiriki uchaguzi kwa amani na tukachague CCM

    Mdau wa maendeleo na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Manson Kimbo, amesisitiza kuwa vijana wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya Tanzania kwa wivu mkubwa. Amesema maendeleo ya taifa lolote hutegemea amani, hivyo amewataka vijana na jamii kwa ujumla kuepuka kushiriki katika...
Back
Top Bottom