uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona mnatukatisha tamaa mapema hivi wakati ndio kwanza siku imeanza? Tulieni Polisi wapate surprise!

    Wakuu, Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe? VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais SAU Majalio Kyara: Utaratibu wa vituo upo vizuri kwahiyo wananchi endeleeni kujitokeza kupiga kura

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo. Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Martha Karua: Sheria ya Tanzania inaruhusu Maandamano, Samia aache utawala wa kimabavu

    Mwanasiasa na mwanaharakati nchini Kenya, Martha Karua amezungumzia kuhusiana na sheria ya Tanzania kuweka uhalali wa Maandamanohivyo kwa wananchi wanaopanga kuandamana wana haki, pia amesisitiza Serikali isiingilie maamuzi ya wananchi "sheria za tanzania zinawaruhu raia kufanya maandamano, na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakaopiga kura

    Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakao piga kura Tulia amepiga kura katika kituo cha Tamukereli ambacho kipo kata ya Itenzi baada ya kupiga kura Tulia Akson amefurahishwa kuona watu wengi wamejitokeza hadi muda...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema awashauri vijana, wakimaliza kupiga kura, warudi nyumbani wakalale

  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Zanzibar: Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kwa 74.80%

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka. Wapiga kura walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura walikuwa 717,557, ambao ndio...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je mdau umeshawahi kupigiwa na hii namba?

  10. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tukio la kupiga kura ni fursa ya Kumtambua Jirani yako na mtanzania mwenzako

    Uzoefu wangu katika kupiga kura unaonesha siku ya uchaguzi mkuu ni siku muhimu inayotoa fursa ya majirani kufahamiana.Kupiga kura ni alama muhimu ya kuthibitisha utanzania wako na pia ukazi wako katika eneo husika. Asubuhi na mapema nitaenda kuwatambua majirani zangu ambao hatujuani tunatoka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kupiga kura ni kulazimishana siku hizi, kuna watu wanapita mitaani kutishia watu wakawapigie CCM

    Tunajua kupiga kura ni haki ya kila mtu lakini sio kwamba ni kulazimishana. Wahusika wa uchaguzi wanatakiwa kuwashawishi wananchi kwenda kupiga kura na sio kutumia nguvu. Nimepita maeneo ya mtongani nimekuta jamaa mmoja kapigwa watu wamemzingira. Ikabidi niulize bodaboda walioko eneo hilo ndo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Nikiwa Mbunge wanawake watajifungua bure katika Manispaa ya Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge katika jimbo hilo, Manispaa ya Kigoma itatoa nafasi kwa wanawake kujifungua bure. Zitto ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 28, wakati wa hafla ya kufunga kampeni...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Si vyema kubaki na kulalamika Mitandaoni, wanaofanya maamuzi ya mwelekeo wa nchi yetu ni wale wanaopiga kura

    "Si vyema kubaki na kulalamika Mitandaoni, wanaofanya maamuzi ya mwelekeo wa nchi yetu ni wale wanaopiga kura na sio wale wanaonung'unika. Lawama, kebehi na matusi havichagui wala kubadilisha Viongozi bali kura huchagua na kukataa Viongozi wazembe, twendeni kwa wingi wetu tukapige kura."...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kusini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kusini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kusini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni: Chake Chake - Nassor Said...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaskazini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kaskazini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kaskazini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni: Gando - Salim Mussa Omar...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaskazini Unguja: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kaskazini Unguja, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kaskazini Unguja una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (8) ambayo ni: 1. Nungwi - Dkt...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wangu: Uchaguzi wa kesho kula CCM ila kura usipige

    Japo CCM na serikali na majeshi yake wanatangaza kuwa kesho ni siku ya uchaguzi, huu si uchaguzi bali uchafuzi. Kula fedha za CCM ila kura usipige. Utapiga ya nini na kupoteza muda wakati wameishajishindisha? Wapo watakaoogopa kuandamana. Jamani, hata kuwanyima kura ili waaibike nako...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjini Magharibi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Mjini Magharibi, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mjini Magharibi una jumla ya majimbo ya uchaguzi (17) ambayo ni: Malindi - Muhsin Ussi...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya magari ya polisi yamesambazwa kila kona! Kwani huu ni uchaguzi au ni vita?

    Yani huku mitaani magari ya kama ya kivita yamesambazwa kila sehemu, hii yote ni kuelekea kesho. Sasa kama ni uchaguzi ndio mfanye haya yote au uchaguzi wa mwaka huu umegeuka kuwa vita? Embu punguzeni hizi purukushani mtawafanya hata wenye nia ya kwenda kupiga kura wabaki manyumbani kwao kwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 AG Hamza Johari: Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele endapo nchi kuwa vitani au kukosekana kwa wagombea

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ametoa onyo kali kwa watu au makundi yanayopanga kuandamana, kuleta vurugu au kuzuia wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura akisema kuwa vitendo hivyo ni kinyume cha sheria na vitachukuliwa kama makosa ya jinai. Johari ametoa onyo hilo...
Back
Top Bottom