uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi ni chachu ya wengine kufuata nyayo

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hii ni dhaifu, haiwezi kushindana na CCM

    Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa. Chadema inakabiliwa na ukata mkali hivyo kushindwa kujipanga kifedha kwa ajili ya shughuli zake za...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mstaafu Kikwete unaona huu moto wa 2025?

    Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano. Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025. Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi katika ibara ya 40 inamruhusu Rais Samia kugombea 2025

    Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wakamilika rasmi mkoani Dodoma na Singida

    Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024. Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe ashinda uenyekiti CHAUMMA kwa mara ya tatu, aahidi kushikilia sera yake ya ubwabwa mashuleni kwenye uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mohamed Masoud...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

    Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunawapenda ila tunawaomba sana mbadilishe kipengele hiki kwenye ilani yenu itapofika 2025

    Wanabodi, Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe wenu kwa serikali. Leo nilikuwa napitia ilani yenu ya 2020 kwa mara nyingine na nigewaomba pale...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini vyama vya siasa kila siku ni katiba mpya na ununuzi wa ndege? Athari za mabadiliko ya nchi kwanini hamzipi vipaumbele?

    Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akiwa BBC: Kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa haki

    Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki. Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ndolezi Petro: Polisi waache kutumika kisiasa kwenye michakato ya uchaguzi, wawaachie wanasiasa kunadi sera zao

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  15. Afcon 2027

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani huamua chama kitoe fomu moja ya mgombea wa Urais?

    Habari wanajamvi, Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

    Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia. Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo. Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za 2025 zijikite kwenye usalama na uchumi

    Wote wenye Nia ya kugombea nafasi za uongozi hasa uchaguzi wa nafasi ya Urais mwaka 2025 wajikite kwenye masuala ya Usalama na uchumi. Kwanza, wajikite kwenye kuimarisha Usalama wa nchi. Hali sio nzuri kwa Sasa kutekwa na kupotezwa imekuwa Jambo la kawaida kwa Sasa. Inatakiwa Rais ajaye aweke...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sioni kama ni afya au tija kwa taifa kwa raia wote kupiga kura katika uchaguzi

    Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito wa kura yenyewe hivyo sio rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi. Matokeo yake watu wa aina hii wakiwa...
  19. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu

    Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa Mwanasiasa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA. Akihojiwa na moja ya Chombo cha Habari hivi Karibuni, TUNDU...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
Back
Top Bottom