uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Unatupa aibu kubwa

    Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi kwenye kamera na kusema vijana walio andamana sio Watanzania! Uongo wa kiasi hiki huwezi kutegemea...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mzanzibari?

    Najaribu kuunganisha doti kwa yaliyowatokea waandamanaji Tunduma na Mkuu wa Mkoa aliyepo huko! wenye D mbili mtanielewa! Je, muungano wetu unaruhusu MZANZIBARI kuwa MKUU WA MKOA BARA? Na je, what if aliwekwa huko kwa kazi maalum ambayo ndio imeanza kukamilika tokea 29 Oct?
  3. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania GE2025 Onyo kwa Serikali, Viongozi wake, na Chawa kilichotokea ni mfano ikiwa wananchi wataendelea kupuuzwa

    Nitoe onyo kwa serikali na viongozi wake wote bila kuwasahau machawa. Kilichotokea ni mwanzo na ni mfano. Hiyo ilikuwa kama zoezi tu; sasa mechi kamili inakuja ikiwa serikali itaendelea kuwapuuza wananchi. Kifuatacho kitakuwa hatari zaidi kwa sababu Watanzania wameishapata uzoefu wa maandamano...
  4. Piere. Fm

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Polisi Wanajihami na kile walichokifanya?

    Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 3: Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwenye maandamano!

    Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk. Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi. Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia eti anasubiri atangazwe, sasa akitangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani?

    Huyu Samia ni laana, eti anasubiri atangazwe, sasa akishatangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani? Sisi tumemkataaa, sababu kuu za maandamano lazima zizingatiwe sio ombi ni lazima.
  7. Agent-47

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaosema Samia ajiuzulu, ajiuzulu nini?

    Samia siyo Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi haukuwepo kwahiyo hajachaguliwa tena. Hana cha kujiuzulu. Labda tu asaidiane na wengine kutuletea serikali ya mpito, aende apumzike tutamuita kujibu tuhuma za mauaji dhidi ya wapendwa wetu. Hivyo tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa apigwa risasi

    Tindwa amepigwa risasi akiwa kibarazani kwake tu; wala sio kwenye maandamano. Inaonekana Polisi now hawavai sare zao. Wanavaa kiraia na wanatumia magari ya kawaida. Wanaofanya matukio haya wamevaa kininja na wanatumia IST. Pole sana Tindwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya ni matokeo ya kupuuza sauti za wanyonge kwa muda mrefu

    Najiuliza: 1) Kwanini viongozi wetu walichagua kukaa kimya au kupuuza sauti za Watanzania pale Watanzania walipodai haki kwa amani? 2) Kwanini walichagua kuzungumza kwa vitisho na ukali kwa raia ambao walijaribu kupaza sauti kudai usalama wa maisha yao na mali zao? 3) Kwanini waliahidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 3: Maandamano yanaendelea jijini Dar es Salaam

    Maelfu ya watanzania kutoka Mbezi jijini wanaelekea Ikulu muda huu. Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki. Video hii ni ya asubuhi ya leo: 👇🏽 Leo, wanajeshi wameonekana kuendelea kulinda wananchi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Wanaharakati wa Kenya wana maslahi sana na Tanzania kuliko Uchaguzi wao?

    Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati. Huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa, fuatilieni video za 2019...
  12. 888I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi au Maonesho ya Takwimu na kulazimisha asilimia 98?

    Kuna wakati mtu anaangalia matokeo yanayotangazwa na Tume ya Uchaguzi na anajiuliza kimya kimya — tulishiriki uchaguzi kweli, au tunapewa hadithi nzuri za takwimu? Wanalazimisha kuonesha kuwa zaidi ya 90% ya wapiga kura wamejitokeza, lakini vijijini vituo vingi vilikuwa vitupu, na wengine...
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume yako ya Uchaguzi itakutangaza Samia kuwa mshindi wa nafasi ya Uraisi lakini 'No Reforms, No Election’ na ‘nywinywinywi' umeziona na kuzisikia

    Habari wanajamvi, Kifupi sana mambo makuu matano yamepangwa; 1. Lazima Samia atangazwe kuwa mshindi. 2. Idadi ya wapiga kura iwe asilimia 80. 3. Samia ashinde kwa asilimia 80+ (Hili lilileta mjadala sana wengine walitaka iwe 90+ hadi naandika Uzi huu muafaka bado) 4. Kutakuwa na mabadiliko...
  14. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ nawaomba ili kuleta muafaka wa maandamano ongeeni kwa hekima na hawa

    Wakuuu poleni na kazi naomba niende moja kwa moja kutokana na muda, maandamano yanayo endelea nchi nzima ni kutokana na wananchi kutaka mabadiliko (reforms) Hili jambo ni la wananchi yaani watoto wetu, ndugu zetu na vijana tunao wafahamu tukizubaa tutajaza mitaa ikiwa na miili ya ndugu zetu...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Takwimu za Ofisi, nyumba na mali za Watu Maarufu zilizoharibiwa mpaka sasa

    1. Tulia Ackson nyumba zake mbili Mbeya zimepigwa moto 2. Tulia Ackson - Mabasi yake ya Achimwene yamepigwa moto 3. Idd Azan Zungu - Nyumba yake imechomwa moto 4. Kikwete na Ridhiwani - Vituo vingi vya Lake Oil vimechomwa moto na vinaendelea kuchomwa moto 5. Mabus ya Abood 6. Mabus ya Esther...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

    Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba. Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi. Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi. Dunia inajua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime, Mara: Wananchi wawaambia wanajeshi - Sisi tunakemea utekaji, tunataka Demokrasia

    Hii imetokea leo Oktoba 30, 2025 huko Tarime mkoani Mara Sikiliza, angalia:
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Kamatakamata yaendelea mitaani baada ya maandamano

    Maeneo ya Sinza, Watu wanakamatwa randomly. Watu wengi sana wameingizwa kituo cha Polisi Mabatini. Wanalazimisha kukamata wapita njia hata wanaokwenda kutafuta dawa. Raia wanapigishwa magoti huku wengine wakiambiwa squat, ruka - ruka.
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ zuieni huo upuuzi wa kutangaza matokeo ya huo uchafuzi uliofeli jana

    Kuna taarifa kuwa ccm wanapanga kuanza kutangaza matokeo ya uchafuzi walioufanya jana na ukafeli ili kuleta panic na kujionesha kuwa wana li control Taifa. Tunawaomba askari wetu wapendwa JWTZ zuieni matokeo hayo feki na haramu ya huo uchafuzi kuendelewa kutangazwa nchi nzima. Iwe ya udiwani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Maandamano yanaendelea usiku huu (Oktoba 29, 2025)

    Awali ilikuwa hivi: Hali iko hivi:
Back
Top Bottom