uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Kamatakamata yaendelea mitaani baada ya maandamano

    Maeneo ya Sinza, Watu wanakamatwa randomly. Watu wengi sana wameingizwa kituo cha Polisi Mabatini. Wanalazimisha kukamata wapita njia hata wanaokwenda kutafuta dawa. Raia wanapigishwa magoti huku wengine wakiambiwa squat, ruka - ruka.
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ zuieni huo upuuzi wa kutangaza matokeo ya huo uchafuzi uliofeli jana

    Kuna taarifa kuwa ccm wanapanga kuanza kutangaza matokeo ya uchafuzi walioufanya jana na ukafeli ili kuleta panic na kujionesha kuwa wana li control Taifa. Tunawaomba askari wetu wapendwa JWTZ zuieni matokeo hayo feki na haramu ya huo uchafuzi kuendelewa kutangazwa nchi nzima. Iwe ya udiwani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Maandamano yanaendelea usiku huu (Oktoba 29, 2025)

    Awali ilikuwa hivi: Hali iko hivi:
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna jaribio la kutumia Nguvu Kubwa usiku huu kuzima Maandamano

    Inahotajika hekima sana kutoka kwa watawala. Wasijaribu kutumia nguvu kubwa na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu kwa vijana Watanzania. Wajue wasije wakafika kwenye point of no return na majuto Endapo maandamano hayatazimwa usiku huu, Masaa 48 yajayo yatakuwa ya kukumbukwa!
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano leo!

    Hongera nyingi sana kwa askari wa JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano ya wananchi, Mmeonyesha kweli ninyi ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka wananchi wameona kazi yenu nzuri!
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

    Vijana hawajalala, maelekezo ya IGP yamepuuzwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu Tanzania

    Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu Tanzania. Jeshi litangaze kwamba hakuna tena serikali ya Samia na badala yake kuundwe serikali ya mpito kutoka kwa wadau wazalendo. Lengo ni kupata katiba ambayo ndiyo itatumika, team napendekeza hawa; 1. Dr Slaa 2. Warioba au Butiku 3. Anna Makinda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Tundu Lissu akiwa Rais wa Tanzania

    Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli. Mungu akiamua kitu hakuna wa kumpinga imebaki muda tu. Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili.
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi latangaza curfew (amri ya kutotoka nje) kuanzia Saa 12 jioni kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi limesema kuanzia leo tarehe 29 mwisho wa watu kuwa nje ni saa 12 Jioni.
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kituo cha kura chavamiwa na kuchomwa moto, Hakuna uchaguzi 2025

  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge wa Uyole, Dkt. Tulia Ackson apiga kura. Awahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole mkoani Mbeya, ambaye pia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2025, mara baada ya kupiga kura katika...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia Sauti ya Umma (SAU), Majalio Paul Kyara apiga kura. Zifahamu ahadi zake hapa

    Majalio Paul Kyara, mgombea urais wa Tanzania na Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma (SAU), amepiga kura leo katika kituo cha kupigia kura cha Mbuyuni Changanyikeni, Dar es Salaam. Kyara aliwasili katika kituo hicho akiwa na mkewe, na wote walishiriki katika zoezi hilo la kidemokrasia...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msemaji wa Polisi: Hakuna tishio lolote la kiusalama lililobainika hadi sasa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba. Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
  14. JF Summary

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa Mubashara za Uchaguzi

    Utangulizi Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona mnatukatisha tamaa mapema hivi wakati ndio kwanza siku imeanza? Tulieni Polisi wapate surprise!

    Wakuu, Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe? VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila, Muliro waibuka Kitambaa Cheupe Sinza, Awataka Watanzania Kudumisha Amani Katika Siku ya Uchaguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaagiza Watanzania kulinda amani ya nchi, hususan leo Oktoba 29, 2025, wakati wa zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa inaweza kuathiri sana uchumi na shughuli nyingine za Taifa. Akizungumza katika eneo la “Kitambaa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Samia Suluhu kutoka CCM atangazwa kushinda kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866 Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844 Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye amepata kura 213,414 sawa na 0.65% ======...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Msiache nafasi hii adhimu ya kuchagua viongozi wanaotufaa. Tusikubali kuvutwa na Propaganda

    Wakuu, Matamko yameendelea kutolewa kuhusu Uchaguzi huu Hawa wanajiita Wanazuoni wa Kiislamu
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia

    Wakuu, Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania. Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi "Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchambuzi wa siasa Dennis Muchunguzi: Watu wengi walijitokeza kusikiliza kampeni kwenye Uchaguzi wa mwaka huu

    Wakuu, Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dkt. Dennis Muchunguzi Dennis Muchunguzi amesema baadhi ya ahadi zilizotolewa na wagombea wakati wa kampeni zimekuwa za kuchekesha na zisizo na uhalisia, akitolea mfano mgombea aliyeahidi kufuga mamba Ikulu ili watu wenye matatizo waliwe na mamba.
Back
Top Bottom