uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namna Rais anavyopatikana Kikatiba pasipo nguvu ya vyombo vya dola na Msajili wa Vyama vya siasa

    Kikatiba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Tanzania. Kwa sasa, Samia Suluhu Hassan alichukua madaraka kwa mujibu wa katiba baada ya nafasi hiyo kuwa wazi, jambo ambalo ni halali na lina msingi wa kisheria, siyo wa kiroho wala wa hisia...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Ndumbaro: Mtu anapanda jukwaani anamtukana mgombea mwenzake kama hana wazazi. Atakeyekiuka sheria kipindi cha Uchaguzi, akamatwe

    Wakuu Hivi mbona wananchi tunatishiwa sana na hawa viongozi? Yaani Bongo kila mtu mbabe ==================== Waziri wa Katiba na Sheria Damas Ndumbaro amewaonya wagombea wanaotoa "matusi" na lugha zasizo na staha katika kipindi hiki cha Uchaguzi "Sasa hivi mchakato wa Uchaguzi umeanza. Wadau...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Huyu Wakili Ukashu ameelezea vizuri sana kwanini watu maarufu wanapenda kwenda Bungeni. Neema iliyopo kwenye Ubunge ni kubwa sana

    Wakuu, Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana. Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu wanapenda kuwa wabunge. Hapa walikuwa kwenye mjadala hapo TBC uliofanyika a few days ago
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Makete: Mnazua taharuki kuweka majina mtandaoni kuwa wamekatwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Makete mkoani Njombe kimewaonya wanaoingilia mamlaka na kuweka wazi mitandaoni majina ya wagombea wakidai yamekatwa na kuwataka kuacha utaratibu wa chama ufanye kazi. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete, Clement Ngajilo ametoa onyo hilo wakati akizungumza...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suzan Kiwanga: CCM ni sawa na manyani, 2025 ama zao ama zetu, nyani hasusiwi shamba la mahindi

    Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Matangini, Mlimba – Morogoro, Suzan Kiwanga alisisitiza kuwa haoni sababu ya chama tawala kuachwa kipite bila kupingwa, akisisitiza kuwa wapinzani hawapaswi kususia uchaguzi bali kupambana hadi mwisho – mvua au jua. Kwa mujibu wake...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kuona watu wanalalamika kwenye mchakato uteuzi wa wagombea CCM

    Labda hili jambo ni geni kwa baadhi ya watu, lakini kwa waliokuwa kwenye chama kwa muda mrefu, haya mambo walitakiwa wawe wanayafahamu. Nashangaa kuona watu wanalalamika kwamba wameonewa, ilhali walishindwa hata kujifunza na kuelewa mchakato huu tangu zamani. Wajumbe wana kazi maalum, na hiyo...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    More to come… Kaiweka barua mwenyewe mtandaoni: ======= Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kukutaarifu kuwa nimefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu ya Uongozi wa Umma nikiwa Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana – Cuba, pamoja na uwakilishi wa...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Bukombe: Mawakala wa Miamala ya fedha msitumike kupitisha rushwa wakati wa uchaguzi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, imetoa rai kwa mawakala wa miamala ya kifedha kuchukua tahadhari na kufuata sheria na miongozo ya kazi zao, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kujiepusha kutumiwa na wagombea, wapambe wa wagombea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Uzi Maalum wa Tetesi za Watiania CCM Kuenguliwa/Kupita Mchujo wa kupata majina 3 ya kupigiwa kura na wajumbe

    Wakuu salama? Watiania huko matumbo joto, presha inapanda na kushuka, wanaoroga wanachochea kuni na wanaosali wanasugua maguti/paji za uso kwelikweli kuhakikisha wanatoboa kwenye mchujo wa kwanza. Tupeane tetesi kupitia uzi huu na kujadili kule kwenye ushindani mkali kutabari ni majina ya...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  13. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani kaliwa kichwa huko CCM?

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kama una taarifa ya mgombea aliyeliwa kichwa katika mchujo weka jina!. Kumeanza kuchemka
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine?

    Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine? Mtu akishachaguliwa ajitolee mwaka Mmoja au miwili baada ya hapo akiwa ameonesha uwakilishi mzuri apewe ajira Kwa miaka iliyobaki.
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mara: Wananchi Mwibara wamchoka mbunge anayemaliza muda wake, waomba kupatiwa mgombea mpya

    Wananchi wa Jimbo la Mwibara, lililopo mkoani Mara, wamemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), awasikilize kilio chao kwa kuwapatia mgombea mpya katika uchaguzi ujao, wakieleza kutoridhishwa na utendaji wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

    Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao...
  18. PLOII

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa uchaguzi na kamati za giza, wanasiasa msiue watanzania kisa ushindi wa kisiasa

    Hello guys, It's supercalifragilisticexpialidocious on our current political trends not only that but it's flabbergasted, lambasted & distressed. Niende kwenye Mada baada ya kutoa sumu kupitia hiyo statement. Siasa ya Nchi ni kama Uganda, DRC, Mozambique, Comoro, Angola n.k Ila tofauti na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

    Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea kesi ikafutwa sababu ya ushahidi dhaifu au kwa kubambikiwa, haki ya mtuhumiwa inarejeshwaje?

    Kuna msemo unasema 'Justice delayed is justice denied' na huu ndio uhalisia unaojitokeza kwenye mifumo yetu ya Haki Jinai. Mtu anakamatwa, anafunguliwa kesi, lakini upelelezi haujakamilika—maombi ya muda yanaendelea. Shauri likifika mahakamani, bado upande wa mashitaka unaomba muda zaidi, au...
Back
Top Bottom