uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume imetangaza kuandikisha wapigakura wengi wengi wanawake kuliko wanaume. Agenda ya Women Empowerment inatakiwa iwe revisited!

    Wakuu, Hivi mmemsikia huyu jaji Jacobs Mwambegele ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? Hivi karibuni alisema jumla ya Wapiga Kura walioandikishwa kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 ni Milioni 37.6. kati ya hao Milioni 18.9 ni Wanawake, sawa na Asilimia 50.31, huku Wanaume wakiwa Milioni 18.7, sawa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada CCM, Malick Malupu: Mchakato wa kumpata mgombea wa Urais, CCM ulikuwa wa Kidemokrasia

    Wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mchakato wa kumpata Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulivyofanyika kwani taarifa hizo zinalenga kupotosha umma na kuvuruga mshikamano wa kitaifa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Usawa wa kisiasa ni DENI linalomkabili Rais Samia, ana uwezo wa kulilipa na kubakiza chenji

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) CCM HONGERA SANA: Mmekula Ng’ombe mzima, Msishindwe kula mkia. Kwa moyo wa dhati nawapongeza CCM kwa kuitisha na kuendesha Mkutano Mkuu Maalum kwa mtandao. Nawapongeza zaidi kwa kufanya mabadiliko madogo (kwangu ni makubwa) ya katiba ili kuwapa viongozi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Kaniki: Siasa na dini havitenganishiki

    Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto. Akizungumza siku ya Jumamosi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Kaniki: Dini na Siasa havitengani. CHADEMA inapitia magumu kwasababu ya kusimamia wanachokita Wananchi

    Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto. Akizungumza siku ya Jumamosi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma: Kundi lililotaka kuupora Urais wa Samia baada ya Kifo cha Rais Magufuli wamefahamika, hatutanyamaza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi, tamaduni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kueneza na kuhamasisha usaliti ndani ya chama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwahiyo mtu akila kichapo kwenye 'Knockout ya Mama' ndio inamaanisha Rais Samia kawakung'uta wapinzani wake?

    Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia. Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo kwaajili ya mama, au mama kala kichapo au walioshinda ndio wameshinda kwaajili ya Samia? Mwisho...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Mwezi Ujao. Vijana Wajipanga Kumsindikiza Kwa Maandamano Makubwa Yatakayo Itikisa Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii leo Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza kwa tarehe ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu Za Uteuzi wa...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana viongozi wetu wa chama na serikali kwa kutoijibu haraka barua ya ndugu Polepole. Hii ni adhabu kubwa na ya kisayansi kwa Polepole

    Napenda kutoa Pongezi kubwa kwa viongozi wetu wa chama na serikali kwa kufanya kazi kwa hekima na busara huku mkitanguliza uzalendo kwa Taifa letu mbele. Narudia tena, ninaiona busara na hekima kubwa ya uongozi huu wa awamu ya sita chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan, viongozi wetu mnafanya...
  11. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kwanza na taifa baadae ya Humphrey Polepole

    Na Dr Mutatis Mutandis Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 MNEC, Muhsin Ussi: Zanzibar huduma za afya ni bure, hakuna malipo

    Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM). "Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee. "Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Niliunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu hakusema atazuia uchaguzi, kama angesema hivyo kabla, nisingemuunga mkono

    Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote alisema atazuia Uchaguzi akiingia madarakani, na kama angelisema hivyo mimi nisingemuunga mkono."
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kuna watu wanaua wenzao kwa kisingizio cha kulinda taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki halafu litawasahau

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau" :
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa kuna nini? Historia yake ya kupatikana mbunge inatisha!

    Huyu dada nimependa Simulizi zake. Sijamtaja jina sababu simjui ila aliyoyaongea 50% nilishawahi kusimuliwa. Je, ni kweli ili uwe Mbunge wa CCM Kilwa lazima uue mpinzani wako? Watu wa Kilwa tusaidieni kuhusu anachoongea huyu Dada kama kweli unajua. Niaje huko?
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Nyerere aliuchukulia urais katika muktadha wa Ufalme?

    Sio tu katika katiba ya nchi ambapo Mwl Nyerere aliujenga urais katika hadhi ya ufalme bali pia hata katika maongezi yake na utamaduni ni hivyo pia. Nyerere aliwajengea raia mtizamo kwamba watu kutaka kuwa rais au kuwa na ndoto hizo ni kama aina fulani ya dhambi hivi, kwamba urais huwa unaenda...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namna Rais anavyopatikana Kikatiba pasipo nguvu ya vyombo vya dola na Msajili wa Vyama vya siasa

    Kikatiba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Tanzania. Kwa sasa, Samia Suluhu Hassan alichukua madaraka kwa mujibu wa katiba baada ya nafasi hiyo kuwa wazi, jambo ambalo ni halali na lina msingi wa kisheria, siyo wa kiroho wala wa hisia...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Ndumbaro: Mtu anapanda jukwaani anamtukana mgombea mwenzake kama hana wazazi. Atakeyekiuka sheria kipindi cha Uchaguzi, akamatwe

    Wakuu Hivi mbona wananchi tunatishiwa sana na hawa viongozi? Yaani Bongo kila mtu mbabe ==================== Waziri wa Katiba na Sheria Damas Ndumbaro amewaonya wagombea wanaotoa "matusi" na lugha zasizo na staha katika kipindi hiki cha Uchaguzi "Sasa hivi mchakato wa Uchaguzi umeanza. Wadau...
Back
Top Bottom