ubunifu

  1. JamiiForums Tanzania Godfather of Harlem S04 wameishiwa ubunifu na story waiue tu

    Wamemleta Frank Lucas ambaye sioni kama hata ana kauhalisia kwa mbali Bumpy yupo soft sana na hata hawa Gang leaders wengine hawana mvuto. The story is boring sana. Wanakosa stories za maana, wanakosa ubunifu. Wamechoka sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 28 ya Benki ya Exim Tanzania: Safari ya Ukuaji, Ubunifu na Kusonga Mbele Pamoja na Wewe

    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Serera aipongeza posta kwa ubunifu wa usafirishaji

    DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI 📍Nanenane, Dodoma 🗓️ 06 Agosti, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika utoaji wa huduma kwa njia za kidigitali pamoja na ubunifu...
  4. JamiiForums Tanzania "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  5. JamiiForums Tanzania Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ni ubunifu au upumbavu, Watu wa marketing tupeni somo.

    Salaam, Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ? Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda ubunifu: Nitajie combination ya malighafi nikuletee ubunifu wake

    Mfano Mwanzi na makombe ya baharini Katani na chupa Mawe na miti Vifuniko na waya nknk
  8. JamiiForums Tanzania Kama kwako ni kopo lisilo na faida kwetu ni malighafi ya ubunifu wa vitu vingi . Tuletee

  9. JamiiForums Tanzania Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

    Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa Yasisitiza Ubunifu kwa Viongozi na Kutekeleza Ilani ya Chama

    Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi === Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo. “Wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Kutumia nyuzi kutengeneza midoli

    Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
  12. JamiiForums Tanzania Comfort Zone imedumaza Akili za Wana CCM Hawana Ubunifu Kabisa

    GT Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM. Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

    Kuna hizi pipi za watoto! Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili) Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha. Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu: michezo ya watoto

  16. JamiiForums Tanzania TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007. Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
  18. JamiiForums Tanzania Tujiburudishe kidogo na hizi kazi za ubunifu

    Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na hizi kazi kabla hatujarejea kule kwenye stress.. Hapa kuna baadhi yetu wanaweza kufaidika na hizi kazi
  19. T

    JamiiForums Tanzania Online Tv nyingi za Bongo hazina ubunifu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kumeanza kuwa na ubunifu wa magari sio kama zamani

    Katika siku za karibuni nilipata nafasi ya kushuhudia interview moja ya kipind cha clouds kina itwa The Gear ambacho hufanya na garage na wauza spare parts hapa Tanzania, Jerry spare parts and service. Ambapo kwenye kipindi hicho alikuwepo host ambaye ni CEO wa Jerry spare parts and service...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…