ubunifu

  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kijana Mkenya kuwakilisha Afrika kwenye shindano la kimataifa baina ya wabunifu duniani

    Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo. A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money. KOA Mobile App, which offers...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii

    Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii, lakini pia katika kuzalisha fursa mbalimbali za biashara. Kama nilivyoeleza huko nyuma, fursa ya biashara ni tunda la wazo zuri la biashara. Watu wengi wanachanganya matumizi ya maneno haya; yaani wanasema wazo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Akili na ubunifu ndio mtaji mkubwa kuliko fedha

    AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha au kuongezea kile mlichonacho. Kwanza kabisa nianze na hadithi fupi kisha tuendelee na mada yetu...
  4. demigod

    JamiiForums Tanzania Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  5. Peter Stephano 809

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  6. Midevu

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mahusiano ya fikra na ubunifu kwa vijana

    Kuna sehemu niliona pameandikwa kwa lugha ya kiingereza “Start with mindset” -Anza na fikra- Fikra ni namna unavyochukulia jambo, au ni mawazo ya mtu juu ya jambo fulani maishani au juu ya maisha kwa ujumla, fikra ni dhana. Fikra na umasikini au utajiri vinaenda sambamba sana. Lakini lazima...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: CHADEMA imeishiwa ubunifu kufikia malengo yake ya kisiasa

    Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari. Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na Mabango Mengi kuelewesha umma nini hasa alichopigania. Nyimbo zikaimbwa za kutoa ELIMU na kumsifu. Hata...
  9. The Digital Prowess

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira au ubunifu?

    Mfumo wetu wa elimu nchini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika zilianzia nyakati za baada ya ukoloni. Waliotuletea elimu nia yao ilikuwa kutufanya "watumwa katika fikra zetu" kwa sababu tulikataa kuendelea kuwa watumwa katika mashamba yao. Embu fikiria, unapoamua kuwa Daktari, Mhasibu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kwa hili la tozo za miamala mmechemka na kukosa ubunifu

    Serkali inatakiwa kutambua kuwa watanzania wako tayari kuchamgia lakini tatizo ni viwango vya makato mfano: Mtu akitoa 10,000 anatozwa makato ya serkali wastani wa shilingi 320 lakini serkali ingeweza kukata shilingi 100 kwenye makato ya kuanzia mtu anapotoa 1,000-10,000 Mtu akitoa 100,000...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie ubunifu wa vijana kupunguza tatizo la ajira

    AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
  12. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

    Jumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

    Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi. Majibu: Mama Endelea kukamua Ushauri wa BURE kwa Mwigulu Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo kitasadia 1. Mafundi ujenzi wawe na leseni 2. Mafundi bomba 3. Mafundi umeme 4. Vinyozi 5. Mafundi...
  15. David M Mrope

    JamiiForums Tanzania Umakini katika kazi ni bora zaidi ya ubunifu

    🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa? 🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Hii nchi haina uongozi aiseee Tumepigwa Mama anaupiga mwingii ===== Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara vijijini. Hayo yamesemwa na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania TanTrade ongezeni ubunifu maonesho ya sabasaba

    Wakuu habari za muda huu, Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”. Kiukweli TanTrade mmetuangusha sana maonesho ya sabasaba hayabadiliki kabisa kilichofanyika miaka kumi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Ubunifu na uvumbuzi unavyopewa kipaumbele katika maendeleo ya China

    Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
  19. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

    Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix WCB = WE COPY THE BEST Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ubunifu zaidi unahitajika katika bidhaa zetu za ngozi

    Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa zinadumu kwa muda mrefu. Kasoro kubwa ilikua kwenye kumalizia, hadhi ya zipu hailingani na ubora ya...
Back
Top Bottom