ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna FLYOVER. Yote ni madaraja

    Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa. Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini. Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile...
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  4. Papasa

    JamiiForums Tanzania Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  5. marehem x

    JamiiForums Tanzania Stend ya daladala Mbezi Louis ifikiriwe, UBUNGO manispaa amkeni

    Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive. Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tetesi: "Kocha wa Simba kama angepata bahati ya kufundisha Yanga, kila goli tunamuokotea Ubungo"

  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Sinza walalamika kufanyiwa ubabe wa kulazimishwa kusaini mikataba viongozi wa Halmashauri ya Ubungo

    Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia. Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  9. Gan star

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  12. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Hi, Sikuhitaji anishukuru wala sikuhitaji anilipe hapana ila mikausho aliyo nionyesha kwa kweli ameninyanyasa kihisia. Nilikua natoka Mwanza nakuja Dar niliwahi mapema sana kufika pale ofisini kwao yanakolala magari panaitwa Nata nikapanda nika kaa kwenye seat yangu ilikua msitari wa tatu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

    Wakazi wa eneo la Luguruni Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo (DC), Kheri James kudai huduma ya maji waliyoikosa kwa miezi mitatu sasa huku wakiletewa bili. Wakazi hao wakiwa wamebeba ndoo zao zikiwa tupu walikuwa wakiimba nyimbo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

    Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake KERO - Waziri Juma Aweso atoke...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapa eneo la Ubungo Kibo(Msewe) mkoani Dar Es Salaam kuna nyumba inateketea kwa moto na hakuna msaada wowote licha ya watu mbalimbali kujaribu kuwasiliana na wahusika wa zima moto. Watu wengi wanaoishi katika nyumba hii ya upangaji wameshindwa kutoa mali zao ndani ya nyumba, baadhi yao wapo...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tikielekea kwenye sensa hapa Ubungo hakuna maji wiki ya pili sasa

    Aweso soma hiyo, watu wanahamasisha sensa kwa maendeleo, na huku watu wananuka vikwapwa kwa sababu ni wiki mbili sasa hakuna maji na idara ya maji IPO hapahapa Ubungo. Sensa oyeeeee......
  20. F

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba vyenye furniture ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vinafaa sana wanachuo wanaofanya Field Dar es Salaam ama wanaosoma vyuo mbalimbali

    Habari wadau. Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki...
Back
Top Bottom