ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna bomba kubwa limepasuka Ubungo darajani zaidi ya miaka 4 sasa na Dawasco wanalipita kama hawalioni

    Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka. Kupasuka bomba sio ajabu ila chakushangaza lile bomba lina miaka 4 tokea 2020 mpaka leo dawasco hawana mpango wa kuliziba. Kituko kingine ni...
  4. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  5. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo Kibangu tumewakosea nini DAWASA? Maji hayajatoka sasa ni Mwezi, Waziri wa Maji fuatilia hili jambo

    Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
  6. T

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ubungo makoka kutokea Riverside kupitia kwa Mzee wa Upako inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika

    Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ajali tena Ubungo

    Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️ Awakomi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego anyemelea Jimbo la Ubungo

    Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu. https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana deni katika Huduma ya Maji Ubungo

    "RAIS SAMIA HANA DENI HUDUMA YA MAJI UBUNGO" - LUKUVI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ubungo ambapo...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

    Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja. Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu. Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari mjini panda mwendokasi. Vijana wakiwa na nguo za njano reflector watakuwa pale kuwasaidia...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Ubungo, ana tatizo somewhere!

    Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao. Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons? Kama sio frustrations...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HIVI WALE WEZI WA SIMU NA MICHEZO YA KARATA PALE RIVERSIDE TO UBUNGO WAMEENDA WAPI??

    DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA DAH..YAAN ILE SEHEMU NILIHESHIMU JAMAA MMOJA ALIIBIWA JAMAA AKAENDA PALE KWA .......KURIPOTI AKAITWA JAMAA MMOJA AKAHOJIWA...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

    Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...
  16. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Ubungo: 4 Apartments in 1 Compound For Sale - Dar

    • Direction: Changanyikeni, behind UDSM • Condition: Good • Document: Title deed • Price: TZS 400 million • Site Visiting: TZS 30,000 • . ✓ kuna apartment 4 za chini kwenye eneo moja ✓ apatment zote zina wapangaji ✓ ina uzio, paving, parking ✓ umeme pre paid meter na maji dawasa ✓ kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

    Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam. Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Hassan Bomboko afukuzwa na wamachinga sakata la DART kupewa eneo Simu2000 kujenga karakana

    Sijui ni Kwa maksudi au ndo ulivyo kifikra, unamuangusha Rais wetu Samia aliyekuamini ona Sasa unamchonganisha na wananchi wake. Juzi tu ulienda kukamata watu ukisingizia ni makahaba na umefunguliwa kesi mahakama kudaiwa billion 36. Leo unawahangaisha machinga wenye maisha magumu ukitaka...
  20. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Cross Examination: DC Ubungo vs Wakili

    Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi wa Mhe. Rais Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Wilaya Wakili: Je! Unawafahamu...
Back
Top Bottom