ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Richard Kayemba, atia nia kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini , Richard Kayemba, amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.Z
  2. Boveta

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ajali, Magari matatu yagongana kwenye Flyover Ubungo

    Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu wa magari na msongamano mkubwa wa magari umetokea eneo hilo. Chanzo Cha ajali hiyo bado...
  8. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

    Wakuu Foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Kimara hadi Ubungo kutokana na ujenzi unaendelea.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amtaka mkandarasi Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania K/Mkurugenzi Ubungo: Kampuni ya Boss Kazi company limited imepewa mamlaka ya kukusanya ushuru wa maegesho yasiyo rasmi, ataekiuka hatua za kisheria zi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO Tarehe: 11-04-2025 TANGAZO MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WATUMIAJI WOTE WA VYOMBO VYA MOTO (MAGARI, BAJAJI, NA PIKIPIKI) KUWA KUANZIA TAREHE...
  16. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Ubungo, nini kinafanya mshindwe kutatua mgogoro wa barabara ya kwa makombe (Kibwegere) inayotokea Jerusalem (Hondogo)?

    Kumekuwa na ubabaishaji sana kuhusu suala la kufungua barabara ya kwa Makombe hadi Jerusalem, ambayo imefungw na mtu mmoja anayeitwa Jose ph dhidi ya wanaichi zaidi 30 wanao itegemea barabara hiyo, Awali, Ofisi ya wilaya na Kamati ya urasimishaji mtaa wa Hondogo, ilikuja kusikiliza hii...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa Chalamila atembelea na kukagua miradi mbalimbali jimbo la Kibamba Ubungo

    RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO. -Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia viwango na thamani ya pesa -Asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga na...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeahidi kutembea tumbo wazi toka Kariakoo mpaka Ubungo endapo Simba itafuzu nusu fainali

    Hii ni ahadi na itatekelezwa Safari imeanza wazee niko magomeni
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Soko la kimataifa EACLC Ubungo watakaopangishwa asilimia 95 ni watanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
  20. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
Back
Top Bottom