ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Buti ni kama tiketi ya kuingia Soko la Mabibo kipindi cha Mvua, ahadi ya ukarabati wa Manispaa ya Ubungo umeota mbawa?

    Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Halmashauri ya Ubungo hatujalipwa tangu Juni 2025

    Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wajadili kuhusu ‘Traffic lights’ za Ubungo External KUZIMIKA usiku na kuwa chanzo cha ajali

    Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi. Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MASTERS na Ph.D Hosteli za Ubungo - UDSM tunanunua maji ndoo moja Tsh. 1,000

    Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D! Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Malipo ya mshahara wa madereva yamechelewa kutokana na hitilafu za kiufundi katika mifumo ya ulipaji wa fedha

    TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na madereva...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Vyoo viwili eneo la Stendi ya Simu 2000 vimesitishwa kwa muda kutokana na changamoto ya kujaa maji mara kwa mara

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000) Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
  8. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa mkataba Ubungo halmashauri tunacheleweshewa mishahara

    Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo, Kazi yetu inahitaji kuwa vizuri kimwili na kiakili ,mishahara imekuwa Hadi tarehe 15 ndio inatoka ,hii sio fair kabisa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Ubungo na Mabibo hakuna, ni kama tunaomba msaada

    Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio kabisa, maji kuna muda yanatoka kidogo tena kwa saa moja tu hali ambayo imedumu tangu Oktoba 2025...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

    Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo. Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Ubungo fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni ni hatarishi kwa afya, havifai kabisa kutumika

    Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3 vinaelea kinyesi kizito juu, yaani unafungua hiki kimejaa maji na kinyesi juu nenda kile nenda kingine...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Asilimia 36 ya Magari yanayotumia Morogoro Rd (Ubungo - Kibaha) ni Maroli ya Mizigo - TANROADS

    Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo. Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%. Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maandamano yalianzia kwa Mpina kisesa, na kwa Gwajima Ubungo? Je wako wapi?

    Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha! Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina? Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  16. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania GE2025 Boniface Jacob amekuwa kimya kipindi chote cha uchaguzi, ipi sababu ya kukamatwa kwake?

    Boniface Jacob amekuwa kimya kabla ya kuanza kwa uchaguzi,sababu ya yeye kukamatwa mi nini?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

    Haya ni matokeo ya maandamano yaliyoendelea usiku wa kuamkia leo
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wadhibiti vurugu Ubungo Kibo, magari yakwama kwa muda

    Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, limedhibiti vurugu zilizokuwa zinafanywa na baadhi ya watu katika eneo la Ubungo Kibo kuanzia saa 4:00 asubuhi hii ya Oktoba 29, 2025. Watu hao walianza kufunga Barabara ya Morogoro kwa kupanga mawe na kuyarushia mawe magari yaliyokuwa yakipita...
  20. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba 3 kwenye Kiwanja Kimoja, Ubungo Kibangu

    - Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika! · Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia. · Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi. · Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
Back
Top Bottom