ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  2. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania House for sale ubungo NHC

    Nyumba nzuri ya kisasa Ipo nyumba ya ubungo plaza ubungo mtaa wa Lego NHC Ipo ndani ya geti na nafasi kubwa ya parking Nyuma na mbele Ina vyumba Viwili kimoja master bedroom Sebule kubwa Jiko Choo cha public Ac master bedroom na sebule Mfumo wa maji taka umeunganishwa baharini...
  3. Sajo

    JamiiForums Tanzania Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za maoni Ubungo

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza mara baada ya kupiga kura ya maoni leo Agosti 4, 2025 katika kituo kilichopo kwenye ukumbi wa Kibo Park uliopo Ubungo Kibo, ambapo amepongeza zoezi hilo akisema...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania FURSA uzinduzi kituo Cha kibiashara Ubungo

    Habari
  6. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?

    Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mradi wa EACLC Ubungo kuleta ajira zaidi ya 65,000

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000 Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyouziwa simu-mche wa sabuni pale stend ya Ubungo

    Lesson learned Wale jamaa pamoja na ujanja-ujanja wa mjini lakini nahisi walikuwa wanatumia dawa. Ilivyokuwa Saa 10 asubuhi nikawa Ubungo tayari kuisubiri saa 12 bus liondoke kuanza safari ya kurudi kijijini. Hii ilikuwa 2007 likizo ya semister ya kwanza baada ya kujiunga Chuo Kikuu. Wakati...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu. Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muliro: Polisi haipingi watu Kuabudu katika maeneo yao rasmi kisheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kwa kundi la watu wanaodaiwa kufanya vurugu mara baada ya ibada katika maeneo ya Kibo, Ubungo, likisema halitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani vinavyofanyika chini ya mwavuli wa dini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Richard Kayemba, atia nia kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini , Richard Kayemba, amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.Z
  15. Boveta

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ajali, Magari matatu yagongana kwenye Flyover Ubungo

    Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu wa magari na msongamano mkubwa wa magari umetokea eneo hilo. Chanzo Cha ajali hiyo bado...
Back
Top Bottom