ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salome Sengo achukua fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea ubunge Jimbo la Lupa

    Salome Sengo Amechukua Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea ubunge Katika Jimbo la Lupa Lililopo Jijini mbeya Kupitia Chama Cha Mapinduzi ''CCM''.
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Farid Amanzi atangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Dar es Salaam Mwaka 2021/2022. Farid Amanzi ametangaza Nia ya Kuchukua FOMU ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambalo Kwa Sasa lipo chini ya Mheshimiwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bw Murtaza Mangungu Jana jumamosi amechukua fomu kimya kimya kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Longolela achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM jimbo la Wanging'ombe

    Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

    Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Linus Silayo achukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Rombo Kilimanjaro

    Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha achukua fomu kuwania ubunge Kinondoni

    Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtinika achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Temeke

    Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke. Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshusha Heshima ya Ubunge na Uchaguzi Kwa ujumla ndio Sababu watia Nia kupitia CCM ni wengi wakiamin ni lazima washinde

    Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!. Watia Nia...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Mollel achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Ezekiel Mollel naye amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi. Mollel ambaye pia ni mwalimu amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru, Kamila Kigosi.
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nicholaus Ngassa autaka tena ubunge Igunga kupitia CCM

    Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine. Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mhandisi Jafari Hegga achukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha, ajitosa kusaka ridhaa, ubunge Nyamagana

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza. Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Deogratias Nakei.
  14. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

    Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khadija Mfaume achukua fomu kuwania ubunge viti maalum Mwanza

    Khadija Mfaume Liganga, maarufu kama Dida, ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake kupitia Mkoa wa Mwanza. Dida ni mwanaharakati mashuhuri wa haki...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

    Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe. ====== Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa kipande cha video kinachomuonesha Askofu Josephat Gwajima akienda kuchukua fomu ya ubunge...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salome Sengo Achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Lupa

    Salome Sengo Amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Lupa Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Kilolo Justin Lazaro Nyamoga achukua fomu kuwania Ubunge kwa awamu nyingine

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilolo alielekea kanisani kumshukuru Mungu kwa zawadi...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Gulamali achukua fomu ya kuwania Ubunge

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga wilayani Igunga, Seif Gulamali amejitosa tena kuchukua fumo ya kuwania nafasi hiyo. Gulamali amekabidhiwa fomu hiyo leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Igunga Mkoa wa Tabora na Ebenezer Ole Mainoya, Katibu wa CCM wilayani humo.
Back
Top Bottom