Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.
Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri...