Wakati dirisha la uchukuaji fomu za uteuzi kwa ajili ya kugombea nafasi za Ubunge likiwa tayari limefunguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, wagombea wawili wa Chama cha Wananchi CUF, Bw. Nkunyuntila Siwale (Jimbo la Mbozi), ambaye awali aliomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, kupitia...
Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi.
Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake sita akiwemo Baba Levo, amezikataa kura feki zilizokamatwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani...
Walioko madarakani hawana msaada na sisi ndio maana tulitamani kubadilisha mfumo aingie baba levo,Kwenye kura Baba levo amaeshinda ila kilichofanyika ni wizi"
Mmoja kati ya Wajumbe waliopiga kura za maoni jana amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea jinsi gani anajiskia baada ya Baba levo...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
Baada ya kura za wajumbe kufanyika waliokosa nafasi za kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi wa 10.29.2024 katika ngazi za ubunge na udiwani Kwa Sasa ni muda muafaka wa wao kwenda Veta
Aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Tendega, amesema kuwa licha ya kutoshinda katika kura za maoni, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa chama hicho na kushiriki kikamilifu katika kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa.
Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025.
Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa...
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Wakuu,
Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge.
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Salim Kikeke ambaye ni mtia ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini imembidi kudangaya mahali alipozaliwa ili kushinda mioyo ya wajumbe. Huko nyuma wakati anahojiwa alisema kazaliwa mkoani Mbeya, hivi juzi akiwa mkoani Kilimanjaro wakati akijinadi akasema kuwa kazaliwa KCMC mkoani Kilimanjaro.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.