ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge aahidi kuwapatia wananchi UJI huko Lindi

    Wakuu mimi Nimeshangaa kidogo,huyu mgombea ubunge huko mkoani lindi ameahidi kupatia wananchi uji. Hivi hawa wanasiasa wako serous kweli?
  2. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay awekewa pingamizi Ubunge Mbulu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama hicho Flatei Gregory kwenye ofisi ya msimamuzi wa uchaguzi jimbo la Mbulu vijijini kwa madai ya kuwa...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Buchosa, asema hakuna sababu ya uwepo wa makundi

    Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani. Shigongo...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndiyo wanaowania ubunge kupitia CCM mkoa wa Songwe

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Songwe katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

    Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.

    IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO. Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola, akichukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge. Shughuli hiyo iligeuka kuwa...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
  12. T

    JamiiForums Tanzania Makonda kuisimamisha Arusha akichukua fomu ya ubunge

    Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini. Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM. Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza. Tayari maandalizi...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B Pia elimu ya Mbunge wa Geita mjini bwana Chacha Wambura aka Waja Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aesh Hilaly achukua fomu ya ubunge Sumbawanga Mjini

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Aesh Hilaly mapema Leo Agosti 24, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais. Aesh...
  15. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inawezekana CCM haikuwa Makini katika kuteuwa Wagombea ubunge baada ya Kura za Awali

    Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao CCM inaweza kukosa kwa mfano Tarime Mjini, Tanga mjini na kwingineko...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu H. Ameir ateuliwa na CCM Ubunge Jimbo la Makunduchi

    WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba 2025 Uteuzi huu ni sehemu ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM: tulioshindwa maoni na tusioteuliwa kugombea ubunge, wawakilishi na udiwani

Back
Top Bottom