ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pesa ya dawa za HIV itoke kwenye ubunge wa viti maalumu badala ya kuwabebesha raia wa kawaida tu mzigo

    Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  4. Life2

    JamiiForums Tanzania Kosa ni pale tuliporuhusu Ubunge kiwe ni cheo cha kupewa kama zawadi

    Rest in Heaven ndugu zetu,Damu zenu zikalie masikioni mwa Mwenyezi Mungu. Kama taifa tulishakosea kitambo sana, kuna mambo yalianza Kama utani ila kwa sasa ndo tunavuna matendo yake na litakuchukua muda kwisha mpaka waje viongozi wenye uchungu na nchi hii. Kitendo cha kuanza kuwapa watu cheo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

    Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie. Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana. Au nafsi zinawasuta? Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka? Uzzuri hakuna Mbunge wa...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Walioshinda nafasi za ubunge 2025

    Thread hii ni kwa ajili ya kuwatambua wabunge wateule kwa kila jimbo kufuatia uchaguzi wa 2025. Tuma jina la Mbunge mteule wa jimbo lako hapa
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katambi: Samia ameondoa 'Omba Omba' Mtaani, achana na wachawi wasiokutakia mema

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM: Tutahakikisha Kawe inapiga kihatua kimaendeleo

    Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi. ===================== Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Tanga mjini awaahidi wananchi kuwaunganisha na wachina endapo wakimchagua

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Samia anatuchanganya. Kaamua tena kugombea na Ubunge?

    Aiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi hadi leo wagombea bado tu wanatatua kero ya maji tutapiga hatua sehemu nyingine kweli?

    Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mkinichagua bei ya Simenti itashuka Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa huo kutokana na bidhaa hiyo kuuzwa bei sawa na Simenti inayotoka Dar es salaam. Zitto Kabwe amesema...
  17. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Monduli Issack Kadogoo: Lowassa aliniambia siku moja utakuja kuwa Mbunge wa Monduli

    Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta: WanaCCM wameniamba urais watampa Samia, Ubunge CHAUMMA

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) Agnesta Lambert Kaiza amesema wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo wamemwambia kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kura ya Urais watampigia mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan, huku kura ya...
Back
Top Bottom