ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    (Bright and Genius Land Chronicles) Utangulizi wa Riwaya Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nichague kipi kati ya Ubunge na Ukuu wa Wilaya au Mkoa

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Ubunge; wananchi walisema nini kwenye rasimu ya Warioba?

    Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo. Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Moshi: Fomu ya Ubunge ni 500,000 na Udiwani ni 50,000

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini kimewaita wanaotaka kugombea ubinge,udiwani na viti maalum kujitokeza kuchukua fomu huku wakitaja gharama ni Sh.500,000 na 50,000. Aidha,kimepiga marufuku wagombea kuambatana na wagombea,shamrashamra za matarumbeta ngoma,misafara ya watu na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini Jumamosi Asubuhi

    Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini. Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza. Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Buchosa ndo jimbo rahisi zaidi mtu kushinda ubunge

    Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watia nia ya ubunge kupitia CCM kila mtia nia aende agombee kwenye jimbo alikozaliwa

    Naona wengi wa watia nia kupitia CCM wamerukia kwenye majimbo ambayo siyo asili yao walikozaliwa. Kuna mmoja 2020 alitia nia kwenye Jimbo fulani akashindwa kwenye kura ya maoni. Mwaka huu pia nimeona amerukia Jimbo fulani kupitia CCM. Nawashauri wajumbe wa majimbo hayo kupitia CCM wakataeni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iringa Mjini wamtaja Daudi Masasi ubunge 2025

    Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma mwaka 1996 alipoanza kutoa Jarida la Burudani lililojulikana kwa jina la Tabasamu. Jarida la Tabasamu...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  16. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa usigombee ubunge utaua heshima yako ndogo iliyobaki.

    Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge . Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika

    Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma Babu Tale Harmonize Baba Levo Kishimba Steve Nyerere. Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wataka sifa ya anayegombea ubunge iwe angalau degree moja

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom