ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona. Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni. Mwaka 2020 Kaboyoka...
  3. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
  6. Boveta

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Kwa Ajili ya Matukio Yote Ya Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu Za Ubunge Kupitia CCM 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
  10. Puna

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Kigoma yawaasa vijana kujitosa mbio za ubunge na udiwani

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kigoma, kimesema zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea Ubunge na Udiwani zitaanza kutolewa Juni 28, 2025, huku wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wakitakiwa kujitokeza na kuchukua fomu za kugombea nafasi hizo muhimu, kwa kuwa ni haki yao.
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    (Bright and Genius Land Chronicles) Utangulizi wa Riwaya Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nichague kipi kati ya Ubunge na Ukuu wa Wilaya au Mkoa

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
Back
Top Bottom