ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Nabalanganya wa ACT atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Adv. Mwabukusi: Sitagombea ubunge jimbo lolote

    Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu. 1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala wa sheria ,haki za binadamu na ulinzi wa Raslimali za Asili za Tanganyika. 2.Kipaumbele changu cha...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mkutano wa CHAUMMA: Tulimpambania Lema akawa mbunge miaka 10, leo anasema CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge

    Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi. Watu wa aina hii ni...
  6. Small letter

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Husna Sungura achukua fomu ya ubunge Jimbo la Chamazi kupitia ACT. Ahaidi maendeleo akichaguliwa

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Husna Sungura, ameahidi kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Jimbo la Chamanzi endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi ujao. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Obote, Jimmy Akena ajiuzulu ubunge

    Jimmy Akena amejiuzulu ubunge baada ya CDF Jenerali Muhozi kupendekeza kwamba masuala yote yanayohusu haki za binadamu yataamuliwa kwa pasenti mia na Kamati Kuu ya Chama tawala, NRM, kabla ya kupelekwa Bungeni kwa majadiliano. Akena ni mtoto wa Milton Obote. Amesema Dar es Salaam hapa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

    Msikilize ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA https://www.youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; wananchi washangazwa na wageni kuja kugombania kugombea ubunge kwenye ardhi Yao. Muda wowote kuliamsha

    Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Msasani Luca Neghesti kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni.

    Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yericko na wenziwe wameumia mikeka yao kuchanwa! Waliahidiwa ubunge hata wakaenda kwao kutambika

    Wale vijana wa Mbowe waliumia sana mwenyekiti mbowe kushindwa uchaguzi! Imekuwa ngumu sana kwao kuponya majeraha kwasababu tayali waliporamba ile asali ilikuwa na ahadi nyingine! Waligawiwa pesa nyerere akaenda kununua alphad, akasafiri hadi kwao iringa kutambika. Mbowe aliwaahidi vijana wake...
  17. lost files

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto kugombea Ubunge: Rasmi ACT na CCM waungana kupinga mabadiliko No Reform No Election

    Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  19. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

    Hamjambo hapo Arusha? JeNi kwa sababu ipi, Kisha Ili iweje? Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)? Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima...
Back
Top Bottom