ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wataka sifa ya anayegombea ubunge iwe angalau degree moja

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Onesmo Olengurumwa: Kama Urais una ukomo, Ubunge pia uwe na ukomo

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema ili kuongeza vijana kwenye nafasi za maamuzi ni vyema mbunge wa kuchaguliwa akaruhusiwa kuongoza kwa vipindi vitatu pekee(miaka 15) kisha baada ya hapo asigombee tena. Olengurumwa ameeleza...
  4. E

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mjue Jenerali Moses Ali anayewania ubunge akiwa na miaka 86 Uganda

    Juni 18, 2025 kwenye mitandao ya jamii kulikuwa na video inayosambaa ikimwonyesha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya chama cha NRM, Dk Tanga Odoi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge Jenerali Moses Ali (86) akiwa kwenye gari lake. Kutokana na hali yake ya afya na umri mkubwa, Jenerali Ali...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Ananyanyasa Watumishi kisa kuutaka Ubunge

    "Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  9. mkalamo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Heche anakiri kuwa CHADEMA inawapa ubunge watu wasiokuwa na elimu wala uelewa?

    Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa...
  12. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  13. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje kushinda ubunge Ikungi 100%

    Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Gwajima sahau ubunge

    Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
  15. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge akijivua wadhifa wake kabla ya muhula wake kuisha atakuwa na sifa za kupata stahiki zake?

    Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa, Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?
  17. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ajiuzulu ubunge Kawe

    Wakuu nimeona hii taarifa kuwa Gwajima amejiuzulu ubunge kawe niya kweli?
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  19. bab-D

    JamiiForums Tanzania Mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?

    Wana jukwaa, hivi mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake? Maana naona wakiwa bungeni hawasemi ukweli unao wagusa wananchi wake kulingana na maisha ya wananchi wao bali wanakaa kimya, wakikosoa na wakishambuliwa wanakubali kuwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
Back
Top Bottom