Kuna uwezekano pablo martin akabeba ubingwa morocco

Kuna uwezekano pablo martin akabeba ubingwa morocco

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
18,048
Reaction score
25,678
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba Pablo Martin anaweza kubeba ubingwa wa Botola ligi kama inavyojulikana ligi ya Morocco baada ya kuongoza kwa pointi 56 na wapinzani wake wa karibu RS Berkane na As Rabat wakifuatia kwa pointi 54 kwa 53 ikiwa imebaki mechi moja.

Kocha huyu aliondoka Simba kutokana nq majungu ya wazawa aliokuwa nao benchi la ufundi.
Kitendo cha kuiwezesha timu ambayo haikuprwa nafasi kuchukua ubingwa mbele ya miamba kama Rs Berikqne, As Far Rabat, Raja Ca na Wydad kinaonyesha jinsi alivyo na uwezo mkubwa.
 
Back
Top Bottom