ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi wanasimba wenzangu walioumia kukosa ubingwa, hivi sasa Simba ni klabu ya tano kwenye 5 year ranking

    Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita. Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda goli 4 na anachukua ubingwa leo

    Wakuu Uzi ndo umeisha hivo. Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4. Nimemaliza
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

    RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa 1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania. 2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi 3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
  4. Yoav Gallant

    JamiiForums Tanzania Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

    Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajax Amsterdam kukosa ubingwa, hii ingetokea bongo je?

    Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu. Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa. Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kutaja mapema yale makosa niliyosema ambayo yanaweza kuinyima Simba ubingwa wa CAF Shirikisho

    Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja. Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu...
  7. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  8. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Harry Kane anachukua ubingwa akiwa nyumbani katulia

    Baada ya Jana kijana kutoka Tanga Yusuphu Shemahonga Poulsen kuwazuia Bayern kutangaza ubingwa ikiwa imesalia sec 1 Leo Bayer Leverkusen wameamua kutupa taulo na kuwaruhusu Bayern kubeba ndoo na kumpa Harry Kane medal ya kwanza ya ubingwa wa kombe kubwa Sio tu harry atakaefurahia ubingwa huu...
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Tunapofurahia Ubingwa Muungano Cup, Yanga tuchukue tahadhari

    Rasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbio za Ubingwa wa EPL katika uchesi wa video

  12. kilwakivinje

    JamiiForums Tanzania tukikosa ubingwa tutasingizia jiesiem

    Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini. Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni maboresho ya kikosi vinginevyo tarehe 08 Machi 2025 tunakwenda kumpa ubingwa Tena Yanga

    Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho Simba kutwaa ubingwa wa Ligi hali ilikuwa hivi

    Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -; 1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza 2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM 3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi 4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa 5.Billnas alikuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa 'Vijiti' ndio watakaoipa ubingwa Simba au Yanga msimu huu, hakuna tena ufundi uwanjani

    Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
  16. Smt016

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+ Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke. Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

    Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united. Niseme ukweli bila kupepesa Simba...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  20. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Vita ya Iran na Israel kuikosesha ubingwa Liverpool

    Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati. Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia. Kwa...
Back
Top Bottom