⚽Manchester United alfajiri ya leo kwenye mchezo wake dhidi ya Everton wametoka sare ya 2 - 2 na kufanikiwa kuchukua kikombe cha kwanza Cha premier league summer series nchini Marekani.
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?
Serikali ikiwa upande...
Engineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga bhana.
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:-
Frimpong
Kerkez
Wirtz
Ekitike
Msimu...
Stars haijawahi tu kuwa serious na CHAN tofauti na ilivyoshiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya mzee Marcio Maximo na Ally Bushiri.
Tumefuzu Afcon 2025 kwa kuzifunga nchi zilizotumia wachezaji kutoka ulaya huku sisi tukiwa tunacheza humuhumu...
Tulifungwa na Morocco na DRC tu.
Wakati...
Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League!
Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama akicheza stage hiyo. Haya ni mafanikio makubwa Sana bahati mbaya tumeingia kwenye ujinga wa wauza...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu.
Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
GT.
Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo.
Namba kumi wao tegemeo alikula umeme hivyo Venance akashikilia dimba, wapinzani walizidisha...
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi timu mbili kuchukua taji lakini kutokuwa na mpango mzuri kukasababisha Yanga kurudi na kukaa juu yao
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa
Huu ni...
Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,.
Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga.
Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita
---
TAARIFA KWA...
baada
bodi
bodi ya ligi
crdb
crdb federation cup
federation
katika
kuhusu
kutoka
ligi
madai
mashindano
msemaji
msemaji wa yanga
msimu
pesa
taarifa
tff
ubingwa
ufafanuzi
umma
yanga
yanga sc
Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga...
Za uzima
Nianze kuwapongeza kwa kuwa washindi wa pili kombe la caf
Kifupi mkijitayarisha kuvaaa majezi ma t-shirt y kila aina na hata zaa kuuzia mashbiki wenu pale mkichukua ubingwa
Na haikuwa hivyoooo
Ningeomba hizo jezi kama hamtojali peleken kwa yatima na wajane na wagonjwa hospt
N...
Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.
mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.
1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa...
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.