ubinadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Mauwaji ya Oktoba 29: wagombea wachunguzwe historia ya ubinadamu wao.

    Wajumbe. Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake. Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia. Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake. Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
  2. G Sam

    PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  3. Chizi Maarifa

    Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

    Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu "Haya" Kesho yake anakutumia "mbona kimya?" Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu "Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654...
  4. tonicimmobility

    Hivi askari kama hawa bado wapo Tanzania hii?

    Askari kama hawa Tanzania hii bado wapo au ndio magugu yamemeza mbegu? Soma pia: Watu wema bado wapo
  5. M

    Kuficha mashahidi ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo. Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo. Kama...
  6. Prof_Adventure_guide

    Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  7. Keyboard_Warrior

    Utu na ubinadamu uko wapi?

    Daaaah! Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video. Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli? Utu uko wapi? Ubinadamu uko wapi? Tena hii kitu inarushwa LIVE kabisa, na mashabiki wa kutosha ukumbini. Aisee, utafutaji mgumu sana.
  8. Webabu

    Ubinadamu ndipo ulipofika hapa.Wapalestina wategwa kwa chakula mithili ya kuwapata samaki au wanyama porini

    Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa. Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa. Ndipo ushirikiano huo ulipounda...
  9. Nyani Ngabu

    Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
  10. Sodoku

    Abd Al Kareem Qassim ataka yeshe, Israel muwe na ubinadamu basi. Deputy Commander wa Quads auawa

    Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale. Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki...
  11. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  12. Brain Kingdom

    Chama chetu vyama vyetu vya msingi na lazima ni Tanzania, Utu na Ubinadamu, CCM haiwakilishi Tanzania kwa ujumla wake , CCM ni mchepuo hiari kisiasa

    Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu. Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda. Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Njia ile ni nyembamba...
  13. M

    Kilele cha ubinadamu?

    Kuna haja ya kuitafuta kweli upya. Kuna ulazima wa kujua tofauti ya ukweli na uhalisia. Tusimwachie pilato. Tumekimbia kuipita Dunia?
  14. God is Dead

    Kiasili sisi ni wanyama ila ubinadamu ni artwork

    Kama kawaida, mtoto akipata nafasi ya kwenda kucheza Kwa jirani anaitumia vizuri.. Ok Moja Kwa Moja kwenye mada, Kwanini binadamu si binadamu Bali ni mnyama aliyezunguka porini Kwa miaka 150k kabla ya kukutana na huyu anayemuita Mungu Tuanze na kitabu chake pendwa, I mean bible Adamu na Hawa...
  15. Doctor Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Abstract The Vatican declaration entitled "Dignitas Infinita" in Latini, meaning "infinite dignity," in English, was issued on 08 April 2024. The Key philosophical argument proposed by this document can be summarized in five steps as follows: "For three millennia of Christianity, all...
  16. Victor Mlaki

    Usiubadili ubinadamu wako Kwa kusudi la kuwafurahisha watu: Utashukuru baadae

    Naandika katika hali ya masikitiko makubwa kutokana na uzoefu wa madhila ya kimaisha niliyoyapitia na ninayowaona wengi tukipita katika njia ileile ya majuto kwa lengo kuu la kuhakikisha hatuupotezi muda mfupi tuliojaliwa na Mungu kufanya mambo yasiyo na faida yoyote kwetu. Ni sahihi sana kuwa...
  17. Intelligent businessman

    Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  18. Nehemia Kilave

    Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  19. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
Back
Top Bottom