ubaya

Major General Ubaya Medawela RSP, VSV, USP, ndu, psc, MSc was a Chief of Staff of the Sri Lanka Army.

View More On Wikipedia.org
  1. SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

    #Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison. Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
  2. S

    Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c -CUF, NCCR, Chadema, Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
  3. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  4. Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

    Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅 Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
  5. P

    Najiuliza, ipo faida gani wanapata wanasiasa, kuyageuza mema ya mtu kuwa ubaya kwa wananchi?

    Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu Kumebadirika nini leo...
  6. S

    Tulieni - Kuna ubaya gani Raisi kujadiliana kupingana na wenzake ???

    Mbona watz mnakuwa watu msioeleweka kivile. Yule mlimwita Baba Haambiliki ,Magufuli hasikilizi ushauri na sasa mkipata aliekubali kukoselewa ,nafikiri huwaga mara nyingi hugusia yupo tayari kukosolewa bado kwenu imekuwa shida,akitokea mtu kumkosoa au kwenda kinyume na Raisi mnapiga makelele na...
  7. Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

    Abuu Kauthar Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
  8. Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

    Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong. Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove...
  9. Wadada, Mkisalimiwa Jibuni Salaam, Sio Kila Salaam Ina Ubaya Ndani Yake.

    Salaam/Shalom. Kuna hili suala huwa linanishangaza sana, utakuta unamsalimia mtu halafu matokeo yake huyo unayemsalimia utakuta anakuangalia tu. Huwa najiuliza sana hili swali, hivi mkijibu salaam huwa mnapungukiwa na kitu gani dada zangu...? Leo nilikuwa Mount Meru Hospital kwa ajili ya...
  10. S

    Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
  11. Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  12. Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

    Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
  13. Tusidanganyike na Jinsia, Dini, Kabila, Rangi, Sura ya Rais Ubaya hauna kwao. Tuzingatie katika Chaguzi zetu

    Siku zote nimekuwa nikisema.... UBAYA HAUNA KWAO. msije mkadhani Rais kwa kuwa ana Jina zuri la Kikristo au Kiislamu basi atakuwa mwema. Sababu linatoka kwenye Biblia au Quran. Msije mkaangalia Rangi ya Rais mkamchagua kutokana na rangi yake mkiamini atakuwa mtu mwema sababu ni mweupe au ni...
  14. Kuna ubaya kumuongezea binadamu uwezo kwa kutumia biotechnology?

    Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye sukari nyingi, nguruwe wakubwa. Aina mbalimbali za mbwa. Mimea inayostahimili ukame na magonjwa nk...
  15. Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  16. Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

    Wana MMU, Salaam. Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU. Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu. Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…