ubadhirifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  2. Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  3. Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  4. Wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi na matakwa ya nchi yetu. Watanzania msiumize vichwa vyenu

    Wakuu, Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile. Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na vyombo vyote vya usalama vina bariki hayo kutokea ndiyo maana hayaishi! Dola na baraza la usalama wa...
  5. Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  6. Tuwafanyeje wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania?

    Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za kisheria: Serikali inaweza kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaobainika kufanya ubadhilifu wa fedha...
  7. F

    Chama Cha Mapinduzi kinahusika na ubadhirifu huu

    Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika vibaya na kuishia matumboni kwa wachache. Chama tawala kimekuwa kikijinasibu kama msimamizi wa...
  8. F

    Ubadhirifu, ufisadi, wizi, upigaji, ufisadi mkubwa nchini ni kutokana na mfumo CCM tuliojijengea wenyewe kwa miaka zaidi ya 60

    Watanzania wenzangu tufike mahali tufunguke macho yetu na tuchoke na huu upotevu wa matrilioni ya fedha zetu tulizochuma chini ya jua kali na baridi kali. Kila siku tumekuwa tukisikia habari za ubadhirifu, tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, wimbo ni ule ule...
  9. Rais Samia, angalia tusivune mabua!

    Mkuu wangu wa nchi, Humu JF miaka ya nyuma tulikuwa tunapata "nyepesinyepesi" jinsi fedha za uchaguzi mkuu zilivyokuwa zinatafutwa. Hizo fedha baadae huwapa watu jeuri na kusumbua wakipigania madaraka. Sasa uchaguzi wa 2025 imebakia miaka 2 na ushee tu na tukiweka na miezi ya kuanza harakati...
  10. Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

    Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha. Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea.. Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida. Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais...
  11. Ajira za kudumu, chanzo cha ubadhirifu

    Tumesikia kuhusu ubadhirifu kupitia taarifa ya CAG, PCCB Hasara ya Bilioni 450 zilizolipwa kwa wakandarasi kutokana na kucheleshwa malipo. Hapa ilitakiwa wahusika wote wafilisiwe, wafukuzwe kazi, wafungwe. ATCL kuwa na hasara ya Bilioni 71 ndani ya miaka 2, hii imetokana na waajiriwa wa ATCL...
  12. M

    Ubadhirifu wa fedha za umma TMRC

    Mkrugenzi Mtendaji wa taasisi ya TMRC achunguzwe kwa umakini. Hadi leo taasisi ya TMRC haina mfumo wa tehama unaoeleweka Fedha za Umma takriban shilling billion mbili zilitumika vibaya.
  13. Jerry Muro tulikuambia ubadhirifu wa miradi ya umma Ikungi utakuondoa, pole sana

    Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua wanatafuna pesa za umma alijifanya mkali akidai anachafuliwa kisiasa. Sasa ajifunze. Twende hatua kwa...
  14. F

    Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
  15. DOKEZO Prof. Esther William Dungumaro na Ubadhirifu wa Fedha MUCE

    Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika masuala ya fedha. Taasisi za umma zinaendeshwa kwa mpango kazi wa kila mwaka na bajeti ya kila kazi...
  16. F

    Upigaji na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi kulikokithiri kwa Sasa, nini kifanyike?

    Habari JF. Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6. Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali. Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali. Uporaji upo ilihali Rais yupo...
  17. Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  18. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida ashtakiwa kwa ubadhirifu, adaiwa kulipwa posho Tsh. Mil 7.5 baada ya kutenguliwa

    Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25 Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais...
  19. Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  20. Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…