uandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Paschal Mayalla - Sasa upo kwenye reli ya Uandishi wa Habari ni si uchawa tena

    Umeongea kwa ufasaha, utulivu na hoja zenye mashiko, jambo linalodhihirisha si tu uwezo wako wa kujieleza bali pia upeo wako wa kufikiri kwa kina. Ni wazi kuwa umejiandaa kwa umakini mkubwa; umechambua mada kwa ustadi na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya hali ya juu sana. Mtiririko wa mawazo yako...
  2. R

    Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

    Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
  3. Damaso

    Uandishi Maandazi ndani ya Clouds FM

    Leo ni siku ya mchezo wa mwisho wa kundi la AFCON, mjadala mkubwa haupo tena uwanjani bali pia kwenye vyombo vya habari. Leo asubuhi baadhi ya waandishi wa Clouds FM wamejikuta wakilaumiwa kwa kile kinachoonekana kama kulazimisha matumaini yasiyo na msingi kwa Watanzania. Asubuhi ya leo kwenye...
  4. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  5. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  6. Damaso

    Kuanguka kwa Ufalme wa Marvel: Uandishi Uliopoteza Mwelekeo

    Miaka ya mwanzoni mwa 2010 ilikuwa zama za dhahabu kwa mashabiki wa filamu za Marvel Cinematic Universe (MCU). Kila filamu iliyotoka ilikuwa tukio la kusisimua. Kuanzia Iron Man (2008), The Avengers (2012), hadi Avengers: Endgame (2019). Marvel ilijenga himaya ya hadithi zilizochanganya...
  7. D Metakelfin

    Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

    Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6. Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa...
  8. Roving Journalist

    Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  9. A

    KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  10. Just Pray

    Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  11. Bueno

    Sifa ya Uandishi

    [Chorus] Sifa ya Uandishi Tunga bila Sifa Nikifa na Sifa nzuri Ni Sifa kwa alionisifu Mistari 16 Uvumi unasikika Lini mistari ya Mhuni itakwisha? Tungo zaidi ya Sifa Mdundo wa Kibabe Mikunjo ya Kimista Gumzo za Kipambe Nachana Kisha naepuka lana Kichwani ni mtindo wa Rap Nimeusuka toka zama...
  12. Peter Gati

    Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  13. Peter Gati

    Nyuma ya Pazia: Jinsi ya Kutumia Web Scraping na AI katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi

    ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
  14. Dalton elijah

    Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  15. Blasio Kachuchu

    Waajiri wathamini taaluma ya uandishi wa habari- Dkt. Mkoko

    Na Mwandishi Wetu. BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo...
  16. Fbn

    Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  17. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  18. Feisal2020

    NATAFUTA KAZI YA UANDISHI WA MAKALA

    Habari wakuu, Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO...
  19. Dr Restart

    In the Name of the President: Umahiri wa Uandishi na mkakati wa kuteka soko

    Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist. Kwa simulizi zake zenye ujasiri na mada zenye msisimko, kitabu hiki kimeanzisha mijadala kila mahali...
  20. T

    Ajali ya Basi la Wabunge Ilivyoibua Changamoto za Uandishi Sahihi wa Habari Katika Vyombo Vyetu

    Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
Back
Top Bottom