uanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MNEC Kibajaji ashinikiza CCM imfukuze uanachama Luhaga Mpina

    MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina. Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ali Karume kujibu Mapigo, anasubiri barua ya kuvuliwa Uanachama

    Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama. Na kwamba ikiwa atapewa Barua hiyo basi atafunguka , hawezi kuzungumzia uvumi tu wa mitaani. --- Muda mfupi...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

    Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo. Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  5. Hamduni

    JamiiForums Tanzania 468 wafutiwa uanachama wa NHIF kwa udanganyifu

    468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU Na Mwandishi Wetu Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Mbowe Mwanza, ni wakati muafaka Chadema iwafukuze uanachama Lema, Martin Maranja Masese, mdude na Heche

    Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema. Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msiokuwa na kadi ya uanachama wa CHADEMA msije mkalaumu baadaye

    Wale vijana wenye ndoto za kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa na uongozi, tumieni muda huu kujipatia kadi ya uanachama wa CHADEMA. Hii itafanya uanachama wako kuwa na historia ndefu kidogo na kukuwezesha kugombea na kufanikiwa kupata nafasi za uongozi kutoka CDM muda mfupi ujao. Hakikisha...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe aanze kuwafukuza uanachama wanaopinga jitihada zake

    Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe. Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe. Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
  9. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Lusinde mnahoji uanachama wa Dkt. Bashiru, mbona hamkuhoji alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    CCM oyee! Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF. Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla akumbushwe uanachama sio kadi bali dhamira na nia ya mwanachama kwa chama, Bashiru anavyo vyote

    Namshanga sana Dkt. Kigwangalla kumshambulia Dkt.Bashiru juu ya uanachama wake. Kama mwana chama wa CCM sijapendezwa na kauli yake kwa sababu CCM kinaamini kila mwanachama ni sawa na mwingine bila kujalisha ukongwe wake ndani ya Chama. Bila kujalisha alikuwa nani kabla ya kuwa mwanaCCM...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kumvua uanachama Mbatia ni batili sababu kuna zuio la mahakama kwa upande wa wanaompinga

  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Msanii Tundaman anyang'anywa uanachama Simba

    Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mbowe akizungumza kuhusu Mdee na wenzake kwenye kikao cha Baraza Kuu

    Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A GOOD LEADER of this millenium in Tanzania..!! Mimi kwa 99% naweza kuamini kuwa ni kweli maana hata...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

    Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake. Kunasheria zilitungwa ili kutumika kwa wapinzani tu. Mfano ile iliyoweka zuio la Spika kushitakiwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA?

    Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama. Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
Back
Top Bottom