Zelenskyy akasirika Ukraine kuchelewa kupewa uanachama wa NATO

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Kitendo cha Viongozi wa NATO kudai Ukraine inapaswa kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Umoja huo siku zijazo bila kutaja muda, kimemfanya Rais Volodymyr Zelenskyy kukosoa mchakato huo dhidi ya Taifa lake.

Tamko hilo la NATO limetolewa wakati wa kikao cha siku mbili cha viongozi hao wakidai hadi masharti yatakapotimizwa japokuwa hayakutajwa ni yapi, wakati upande wa pili Ukraine inaendelea kupambana katika vita dhidi ya Urusi.

"Tutakuwa katika nafasi ya kutoa mwaliko kwa Ukraine kujiunga na muungano wakati washirika watakapokubali na masharti kutekelezwa," tamko hilo lilisema bila kutaja masharti.

Zelenskyy alikosoa NATO kupitia andiko lake Twitter kwa kuandika k leaders in a Twitter "Ni jambo lisilo la kawaida na la upuuzi kwa kutoweka muda wa mwaliko au uanachama wa Ukraine."

=================

NATO stops short of Ukraine invitation, angering Zelenskyy

NATO leaders say Ukraine should be able to join the military alliance in the future but stopped short of offering Kyiv an immediate invitation, angering President Volodymyr Zelenskyy.

The leaders of the 31 member states began a two-day summit in the Lithuanian capital, Vilnius, on Tuesday as Ukrainian troops struggle to make significant gains in a counteroffensive against Russian forces occupying parts of their country.

“Ukraine’s future is in NATO,” the leaders said in a declaration, but they offered no timeline for the process.

“We will be in a position to extend an invitation to Ukraine to join the alliance when allies agree and conditions are met,” the declaration said without specifying the conditions.

NATO did drop a requirement for Ukraine to fulfil what is called a membership action plan, effectively removing a hurdle on Kyiv’s way into the alliance.

But the failure to go much beyond a 2008 promise on future membership appeared a bitter blow to Zelenskyy, who was in Vilnius to address an admiring crowd of Lithuanian supporters in a packed city square before meeting NATO leaders.

Before his arrival, Zelenskyy had criticised NATO leaders in a Twitter post.

“It’s unprecedented and absurd when a timeframe is not set, neither for the invitation nor for Ukraine’s membership,” he wrote.

Source: Aljazeera
 
Mjinga Zelensky hailewi kwa nini NATO hawataki kumpa Ukraine uwanachama kipindi ipo kwenye vita na Russia

NATO hawataki kwasababu ile slogan yao ya akishambuliwa mmoja wao basi wameshambuliwa wate. Sasa ^naogopa wakimpa uwanachama, Russia ataendelea kumtandika kama kawa na ile slogan inakuwa imezikwa rasmi
 
Kwamba wanaficha uwezo wao duni dhidi ya Russia, kwa majigambo yao ya muda mrefu, yasije yakadhiirika mbele ya dunia wakapata aibu.
 
1689187667077.png
 
Back
Top Bottom