uanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

    Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama. Mathalani, Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na...
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nimejivua rasmi uanachama wa Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi kuanzia Leo Mimi UMUGHAKA WA BHAGHAKA Nimejivua rasmi uanachama wa klabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga! Nimekuwa shabiki wa hii timu ningali bado niko shule ya msingi,nimekuwa mpenzi wa hii timu ningali bado kinda,nimekuwa mkereketwa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya CCM kupigwa kwenye mshono, sasa yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

    Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

    Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu nzito za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama wa CCM haraka sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Wana...
  9. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Wanachama zaidi ya 200 na viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho. Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 arudi CHADEMA baada ya kujivua uanachama, asema kelele za watu ndizo zilimuondoa

    Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho. Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yajaza nafasi zilizoachwa na viongozi waliojivua uanachama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi. Waliojitoa unachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa, Gervas Mgonja, Katibu wa Mkoa Basil Lema, pamoja na viongozi wengine...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

    NI kwamba ametapeliwa na wajanja. Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende. Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa. Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni. Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaohama na kujivua uanachama mbonna hawarejeshi kadi zao.

    Ni jambo jema sana kujivua uanachama wa chama fulani kwa sababu zozote zile. Nadhani katiba ya vyao inaruhusu ila kitu kimoja tu wafanye warudishe na kadi, bendera na vitemdea kazi kwa ofisi zinazohusika kwenye matawi yao tujue wameachana na chadema.
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania John Mrema aliyevuliwa uanachama na tawi, leo kawa miongoni mwa wanachama waliotangaza kujivua uanachama? mmemwelewa ?

    Huyu mdau , siku si nyongi alifutwa uanachama na tawi alilosajiliwa, leo amekuwa miongoni mwa g55 ambao wametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa hiyo John Mrema anataka kutuambia kuwa hakufutwa uanachama bali amejivua yeye mwenyewe? Nb, Niridhani wenye vipara wanakuwaga na hekima...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama. Kwa mujibu wa barua rasmi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi wanachadema ambao Lissu alipanga kutufukuza uanachama, tunasema la kumkuta limkute

    Lissu alipanga kunifukuza uanachama wa chadema kwa kosa dogo tu la kusema tushiriki uchaguzi. Akaagiza tawi langu liniandikie barua ya kujieleza. Kwa kweli la kumkuta limkute, ndivyo madikteta wanaishiaga hivyo kama Samuel Doe, Al-Bashir wa Sudan na Charles Taylor
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
  20. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
Back
Top Bottom