uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Iringa: DPP aiondoa kesi ya Abdul Nondo katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa). Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
  2. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
  5. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuacha kazi baada ya mapato ya biashara kuzidi mshahara

    Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mawakili wa utetezi wakwamisha uamuzi mdogo kesi ya Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakili wa utetezi kushindwa kufika mahakamani. Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  8. JamiiForums Tanzania Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  13. JamiiForums Tanzania Tusipochukua uamuzi huu sasa tutaangamia sana!

    Nawasalimu kwa Jina la JMT Siku si nyingi niliandika uzi kuhusu yanayopaswa kufanyika ili kuokoa mazingira yetu na kuiepusha nchi yetu na majanga ya chakula na Umeme . Uzi huu hapa chini👇...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe: Uamuzi wa Jaji wa pingamizi la upande wa utetezi kesho unaweza kuja na haya....

    Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne. Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo. Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…