ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  2. Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

    Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana. Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa. Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni...
  3. Nafasi za kazi ualimu primary school - Taifa international school

    TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED Job Summary We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam Recommended: Minimum Qualification: Certificates Experience Length: No Experience/Less than 1 year Job Overview A full-time permanent Teacher...
  4. Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  5. Mwalimu Yusuph na dhana nzima ya Ualimu ni wito

    Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
  6. Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika. Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu...
  7. M

    Nafasi ya kazi ya Ualimu (Kisw & History) inahitajika

    Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
  8. Bocco anakaimu ualimu wa viungo Simba

    Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake. Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
  9. Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Mwalimu ana jukumu muhimu katika kuunda haiba ya vijana na kuwatayarisha kuwa raia wazalendo na wanaowajibika. Kando na kazi za kufundisha darasani, mwalimu pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshauri, kiongozi na mlezi kwa wanafunzi. Lakini pamoja na umuhimu huo, bado kuna mtazamo hasi dhidi...
  10. Tangazo la Kazi za Ualimu (12)

    Hello teachers! our organization is working closely with private and government schools, we admire to serve young people who possess marvelous performance in the learning and teaching field. The organization is recruiting teachers on behalf of private schools in Tanzania's Mainland. The...
  11. Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  12. Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  13. Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

    Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi ni mwalimu kiwango cha elimu ni diploma katika masomo ya PHYSICS na BIOLOGY. Baada ya misukosuko ya ualimu ikiwa ni pamoja na kupigwa na maisha vizuri tu, Nimekaa na kuamua kurudi shule kusoma/kujiendeleza kielimu. Ndugu zangu naombeni ushauri wenu naweza...
  14. E

    Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  15. Morogoro: Omari Kipanga ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha ujenzi wa mabweni unamalizika

    Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu. Mhe. Kipanga ameyasema...
  16. M

    SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  17. Y

    SoC02 Ualimu si wito, ni taaluma yenye sifa na tija kwa taifa la Tanzania, tukiwathamini Walimu tumeithaminisha Tanzania

    UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
  18. M

    Postgraduate Diploma in Curriculum (Open Universty)

    Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
  19. Tarehe ya kuripoti ajira mpya ualimu

    Jamani naombeni kujua tarehe ya kuripoti tu ndugu zanguni,huku mtaani pamenichosha kabisa.
  20. Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…