ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  2. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  5. JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu it might be opportunity Kwa mliomaliza vyuoni recently.

    a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535 All the best for all job seekers. Kindly share for others too.
  7. JamiiForums Tanzania Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

    Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  9. JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada Chuo cha Ualimu Masomo ya Biashara

    Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping. Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika. Aksanteni Sana
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya. Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe. Namba ya simu: 0766698323
  12. U

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
  13. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa za Ualimu shule za Kaizirege na Kemebos

    Walimu wa masomo ya Basic Mathematics, Biology, Geography na Kiswahili wanahitajika. Walimu changamkieni fursa katika shule bora
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  16. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ifike Mahala ajira zote serikalini zitangazwe wazi wazi kama wafanyavyo za ualimu

    Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk.. Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini.. Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
  19. M

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu jamani, nafasi za ualimu ni janga.

    Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni...
  20. W

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya. Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…