Afya labda aende bachelor ama diploma private,mana diploma serikalini madg wa form 4 washavijaza na bachelor ya afya hawez pata serikalini kwa ufaulu wa madg, nilikua namuombea dogo langu nae kapata twoMhh aombe afya ushauri wa mwisho.

Afanye anachopenda!Yes yeye anataka major in physics hapo baadae.
Medicine.
Umemkatalia! Wewe kama nani?Vp mkuu Kwa pale udsm hakuna competition mana udom nmemkatalia
Mbona vyuo vyote private anapewa tu medicine namkopo anapata.Point10 medicine ya chuo kip??
Bachelor za Afya ziko nyingi na vyuo vingi...Aombe pote.Kwa afya cut point ya dvsn two(10) n ngumu kidogo especially medicine.
DUCE au MUCE uhakika.Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?