tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lisu umeshinda Kwa kiwango kikubwa kufunua Kwa kiwango kikubwa udhaifu wa mifumo yetu serikali bungeni sasa mahakamani mission complete

    Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa. Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu. Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu . Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuwania Tuzo ya SHAKAROV(SHAKAROV PRIZE).

    Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU miongoni mwa wanao wania tuzo hiyo kwa mwaka 2026. Akitoa taarifa hiyo McCalister kupitia kurasa zake...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high coooooourt Majaji wameingia. Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana . Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na...
  9. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Uhaini wa Katuga vs Uhaini wa Tundu Lissu

    Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10 ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga 1. ATAPINGA KWA KULETA VITA 2. Mlihamasishana na wananchi kwenda Magomeni. 3. Mlikuwa kundi, ikabidi Polisi wawatawanye 4.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshindwa Tundu Lisu, wameamua kumfuata namba 2 wa CHADEMA. Je wataweza?

    Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda. Katika mchezo wa Chess huo ndio napenda kuutumia katika mambo ya kisiasa. Kwa sababu unaakisi hali...
  11. Girland

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Je, Brenda Rupia alimvalisha Kitanzi Tundu Lissu kwa ushahidi wake?

    Kesi inapoanza mfano wa Shati la Jamuhuri kuwa jeupe na safi kazi ya Mshtakiwa au utetezi ni kulitia madoa ukishindwa kulitia madoa mpaka mwisho wa kesi basi mtuhumiwa hufungwa. Lengo la kuita Mashadi ni kuja kuvunja ushadi wa jamuhuri na Ndiyo maana hata jamuhuri wakimuita shahidi akawageuka...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Pelekeni pole zangu kwa wafiwa

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametoa pole kwa wafiwa akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini hadi kesho, Septemba 8, 2026, ambapo itaendelea kwa hatua ya ushahidi. Hata hivyo, Lissu hakueleza pole hizo zilikuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16.. Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Is Tundu Lissu a living saint we are seeing at our age?

    Ukisoma ama kusikia maisha ya watakatifu wengi wanasifa zinazo fanana. Ukiacha juu ya mambo ya kuipigania na kufanya ustawi wa dini. Wengi wamekuwa ni watu wa kujitoa katika kweli, haki na wongofu wa wa watu. Kwa nyakati zetu, tunaye huyu ndugu. Amejipambanua wazi wazi kuwa ni mtu mkweli na wa...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani na anauliza leo vipi leo wako wapi ? Anajibiwa wanakuja Kaa tayari kwa updates Shahidi Aman Golugwa nae ameshafika ======== Leo September 4, 2026 Sehemu ya 348. Majaji wanaingia na Mwenyekiti anaingia pia. Anasimama Ajuaye...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

    Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya. Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bob Marley aliimba hivi "Ukweli unaweza kuwa ni kosa la Jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi dhambi"

    "Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin. Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
Back
Top Bottom