tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati Usioyumba: Maria Sarungi na Kivuli cha Tundu Lissu wa Zamani. Nini Hatma ya Mapambano Haya?

    Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

    Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau. Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha. Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa "Kingmaker" atakuwa hatari zaidi kwa CCM

    Kama nia ya CCM, serikali zake na dola ni kumwekea doa Tundu Lissu kwa kumhukumu katika kesi ya Uhaini ili akose sifa za kuwania au kuwa Rais wa JMT, wanaweza kuwa wanafanya kosa kubwa kwao la kisiasa. Lissu akiwa "Kingmaker", atakuwa na nguvu na ushawishi mkubwa zaidi na labda anaweza kufanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ushahidi wa Tundu Lissu

    Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo. Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa cross-examination ya mashahidi, hasa kuhusu tofauti kati ya contradiction na omission. Hoja ya msingi ni...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

    “Waambie watu wangu sina dawa” Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo ameomba msaada wa kupata dawa punde baada ya kuingia mahakamani. Mwenendo wa kesi umefikia katika hatua ya upande wa serikali kumuuliza mshtakiwa maswali ya dodoso baada ya Lissu kuwasilisha ushahidi wa kujitetea.
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
  13. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni MABADILIKO Gani Samia alitaka kuyafanya Nchimbi akawa kikwazo? Au ni kukataa kutoa katiba? Kuamulu Tundu Lissu auawe?

    Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi? Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu? Kumuuua Tundu Lissu? Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa? Ni yapi hayoo?
  15. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Kesi ya Tundu Lissu ukoje??

    Ya Kujiuzulu.... Taarifa zimeshatufikia.. -Tuwaacheni Wafu Wazikane Wenyewe kwa Wenyewe-.
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

    Friends and Our Enemies, Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano, Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwa uchache tu, Safari ya harakati za Tundu Lissu kupigania haki za watu.

    Tambua kwamba kazi nyingi za kuwatetea waathirika mbalimbali, Lissu amezifanya bure bila kilipwa na hao watu. Lissu anasema; Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania. Ushahidi wa leo utasema ni kwanini nashitakiwa. Leo nashitakiwa kwa...
  18. captai

    JamiiForums Tanzania Kumtetea tundu lisuu ni 50 kwa 50 yaani kama inakuja inakataa....niko njia panda

  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi tutakuja kuwa na kina Tundu Lissu wengine?

    Naona kama gen z ni mchele mchele sanaaa. General Ulimwengu anasema vijana wa extended high school wakiwa pale mliman au udom ......
  20. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

    "Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
Back
Top Bottom