tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

    Nisiongeze chochote. Fuatilia ktk video.
  2. JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu zazua mjadala Bungeni. Ni hoja ya mfumuko wa bei na njaa

    Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise Pascal waliwaza nini na kwanini Walifikiria hivyo ndivyo kwenye siasa za Tanzania na amsha amsha...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

    Huu ndio ukweli halisi! Mheshimiwa Luhaga Mpina, mbunge wa Jimbo la kisesa, alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live, serikali ya chama chake cha CCM. Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia Watanzania. Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini. Lissu na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

    Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu! Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu! Wapinzani ndio hao walamba asali. Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu kwenye Siasa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chawa wanashangaa Rais wa CWT kukataa Uteuzi wa DC mbona Tundu Lissu alikataa Uteuzi mkubwa tu. Ukiwa na maono yatakuongoza, hutayumba!

    Mjadala wa Walimu kukataa Uteuzi wa uDC umekuwa mkubwa kana kwamba wao ndio Watu wa kwanza kukataa Uteuzi hapa nchini. Kuna Wengi hukataa Teuzi kimya kimya na maisha yanaendelea. Yuko mtu inasemekana Nyerere alitaka ateuliwe kuwa mgombea Urais wakati wa Chama Kimoja lakini alikataa kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

    Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu. Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo. Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi. Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkianza kuchukua ruzuku na malimbikizo Yote mtujulishe Wadau wa Siasa!

    Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena Jumaa kareem!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu Tundu Lissu

    Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL, Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo wa mambo ya ndani na ni hoja ipi inaweza kupeleka Chama chake mbele. Kwa Tanzania bado rushwa ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watakuja na kisingizio gani? Walisema hawawezi kumhoji Lissu kwasababu hayuko nchini

    Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu. Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi. Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika. Au wataleta kisingizio kingine?
  11. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

    MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI. Alhamisi, Jan 26, 2023. Misungwi, Mwanza. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

    Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

    Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi. Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Chawa wamejikita kumjadili Tundu Lissu binafsi badala ya kujadili Hoja zake za Temeke. Siasa za nchi hii Pasua kichwa!

    Tundu Antipas Lisu alipanda Jukwaani na kulihutubia Taifa. Ni vema tukajadili kile alichozungumza badala ya kumjadili yeye binafsi na maisha yake. Sukuma Gang kumbukeni huyu ni Tundu kama Lisu aka Akili kubwa kupambana naye kwa kutumia nguvu kulishashindwa tumieni akili. Mungu awabariki sana!
  15. JamiiForums Tanzania Picha za Lissu na dada wa Chadema mwenye mkoba wa rangi za Upinde yazua gumzo

    Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ). Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

    Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025. Lakini wakati akisema hayo. Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam...
  17. JamiiForums Tanzania Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

    Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba. 1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msimlalamikie Mwigulu Nchemba

    Msimlalamikie Mwigulu Nchemba, Mwigulu Nchemba ni Karani tu, anayetoa ridhaa ni Rais ndio maana mkipiga kelele sana, anakuja amasema kwa sababu nawapenda sana, nimeondoa tozo, halafu anataka muamini kwamba hizi tozo zimeletwa na Mwigulu Nchemba."-Alisema @TunduALissu
  19. JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

    Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…