tundu lissu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Oktoba 2020 Ukituma meseji yenye Jina la Tundu Lissu ilikuwa haiendi

    Tujikimbushe kidogo zahama zilizotukuta. Sijui kilitokea kirusi gani kwenye jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni za Lala Salama ilikuwa ukituma ujumbe mfupi kwenye mitandao ya simu aina zote ujumbe ule ulikuwa haupelekwi hewani au haumfikii mlengwa. Mathalani unachati na rafiki yako kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Rais wa nchi yetu awe na sifa zipi? Je, ni nani anazo sifa nyingi za kuwa Rais ajae? Je, Tundu Lissu anazo sifa hizo pia?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ziara za Tundu Lissu mikoani zina Ubunifu wa Uhutubiaji ndio sababu Wananchi humuona kama Nabii

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF. Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini" Tofauti na mtu kama Zitto au Prof...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asimulia alikofichwa baada ya kukamatwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametegua kitendawili cha nini kilimpata baada ya kukamatwa Septemba 10, 2023 huku Polisi wakimtaka kuripoti baada ya mwezi mmoja. Lissu, walinzi wake na baadhi ya viongozi wa chama hicho walikamatwa Septemba 11, 2023...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Salaàm! Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi. Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
  8. JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema. Je naye TL mikito yake si mnaijua? Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana. Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora. Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

    Wasalaam Bazzukulu, Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa. Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

    Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa. Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana
  13. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

    Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali ya Tanzania, wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine. Lissu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

    Amesema walimu wote niwaoga wanatishwa na kuperekeshwa na wakurugenzi kuiba kura za wananchi . ====== MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kabla ya Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao, kuna haja kufanya kila linalowezekana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

    Wamemueleza kuwa: 1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya 2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke 3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…