tundu lissu

  1. L

    Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

    Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
  2. K

    Baada ya kumsikia Tundu Lissu juu ya ukomo wa madaraka ni anasa kwa CHADEMA, imani juu ya upinzani imetoweka kabisa. CCM itawale milele

    Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha. Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
  3. Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  4. M

    Rais Samia, unda Tume kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lissu

    Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo sana kuwa na serikali ambayo haiko tayari kujua kilichowapata raia wake. Tunafananishwa na Kenya ya...
  5. Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  6. Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  7. N

    Tundu Lissu ana imani na Rais Samia

    Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya...
  8. Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
  9. J

    Hotuba ya Tundu Lissu Februari 5, 2023 ina viwango vya kimataifa, ina Takwimu na Facts - haina Propaganda!

    Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hotuba za Tundu Lisu, Dr Slaa, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe na Komredi Kinana kwa zaidi ya miaka 10 sasa Kiukweli Uhutubiaji wa Tundu Lisu leo umekuwa wa viwango vya juu sana Amekuja.na facts na Takwimu pia katuachia rejea Kwa mfano issue ya Kura amesema...
  10. J

    Tundu Lissu: Wakati debe la Mahindi ya msaada ni Tsh. 15,900 Serikali imenunua magari ya Mawaziri kwa Tsh 563 bilioni

    Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega. Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi huitumia kumuomba awaongeze mishahara. Kwa mfano Ikungi debe la Mahindi ni tsh 15,900 lakini Serikal...
  11. Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

    Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana. PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio. CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA...
  12. J

    Ikungi ni Kijani kila kona miaka 46 ya CCM yaelekea Watu wamewapuuza CHADEMA na Tundu Lissu!

    Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi Dominica njema!
  13. Tundu Lissu: Jeshi la Polisi linaendeshwa Kikoloni ndio maana wanafikiria kupiga na kuonea watu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema muundo wa jeshi la polisi unapaswa ufumuliwe na sheria ya kuanzishwa kwake irekebishwe ili lilinde raia na haki zao. Lissu alitoa kauli hiyo juzi nyumbani kwake Tegeta, jijini Dar es Salaam, katika mahojiano maalumu na Mwananchi, ambapo alisema...
  14. M

    Tundu Lissu ni vyema na busara kama huna uhakika Waliokushambulia ni akina nani basi Unyamaze tu

    Huko nyuma ulianza kwa Kuwatuhumu Watu wa TISS ukatuchanganya. Katikati tena ukaja kusema Ulishambuliwa na Askari wa Kukodi wa Rwanda. Hukuchelewa miaka kadhaa nyuma ukiwa Ulaya ulikokaribishwa ukawatuhumu Police Tanzania. Haya jana sijui leo nimeona Umewatuhumu Wanajeshi kwa lililokutokea...
  15. R

    Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

    Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni; "Wale...
  16. Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwanini hayupo na mkewe

    Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwa nini hayupo na mkewe wakati akihojiwa na Clouds TV, leo Februari 3, 2023
  17. M

    Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

    "Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. ..................................................................................  CCM Kila la Kheri...
  18. R

    Tundu Lissu: Rais Samia anatakiwa kusaidiwa kwa kuambiwa ukweli na siyo kwa kuwa machawa

    Lissu ameyasema hayo alipoulizwa kwenye kipindi cha Clouds 360 anamuelezeaje Samia kama Rais, ambapo Lissu amesame Samia ana uelekeo mzuri ila anahitaji kusaidiwa. Namna ya kumsaidia ni kumwambia matatizo ya serikali yake na nchi yake, Rais anatakiwa kuambiwa ukweli, ila siyo kwa kuwa machawa...
  19. Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  20. Tundu Lissu hana wazo la kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…