Hotuba ya Tundu Lissu Februari 5, 2023 ina viwango vya kimataifa, ina Takwimu na Facts - haina Propaganda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,801
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hotuba za Tundu Lisu, Dr Slaa, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe na Komredi Kinana kwa zaidi ya miaka 10 sasa

Kiukweli Uhutubiaji wa Tundu Lisu leo umekuwa wa viwango vya juu sana

Amekuja.na facts na Takwimu pia katuachia rejea

Kwa mfano issue ya Kura amesema Mwenye mashaka na alichosema aende NEC akahakiki

Issue ya kujificha Ubalozi wa German unaweza kwenda Central Police kuhakiki

Issue ya mapori ya Ikungi kuuzwa unaweza kwenda kwa DED kuhakiki

Issue ya Hayati Mkapa kuchota Dollar million 100 unaweza kusoma Kitabu cha Maisha yake ujiridhishe

Leo Tundu Lisu hakuwa mtu wa propaganda na Uzushi kama alivyozoeleka

Akiendelea hivi itabidi CCM imchukue Prof Kabudi awe anajibu hoja za TAL

Leo Lisu amehutubia kama Benjamin Netanyahu wa Israel!

Kongole kwake
 
Ungali unajikanyaga. Kwani kuna hata cha kujidanganya. Mshaurini pia Rashid:

"Itabidi CCM imchukue Prof Kabudi awe anajibu hoja za TAL."

Zingatia ukarabati kamili kutoka kwenye nukuu yako pale.
 
Sidhani hiyo ni namna sahihi ya kuthibitisha . Maelezo yake yanawataka watu waende huko alikotaja kuhakikki. Kwa nini asiyoe uthibitisho badala ya reteference, kwa sababu reference hizo unaweza kwenda huko au usipewe au ukakuta si kweli, sasa utampata wapi kuthibitisha.

Pia sehemu alizotaja inabidi usafiri kwenda huko kutegemea uko kona ya Tanzania, kwa nini asiambatanishe vithibitisho au kutoa picha zake!na uhakika gani huko alikosema. Atoe viambatisho na kuacha kujificha kwenye reference ambazo anajuwa hazipatikani.
 
Sidhani hiyo ni namna sahihi ya kuthibitisha . Maelezo yake yanawataka watu waende huko alikotaja kuhakikki. Kwa nini asiyoe uthibitisho badala ya reteference...
Kimsingi ninakubaliana na wewe, lakini elewa kwamba hii ilikuwa ni hotuba. Unataka "atoe uthibitisho" wa namna gani hasa, zaidi ya kuelekeza kwenye vyanzo?

Labda alichoshindwa kufanya ni kuweka tarakimu, ambazo msomaji akiziona, na kutaka kujiridhisha kuhusu usahihi wake, basi anakwenda kwenye chanzo sahihi alichokitaja Lissu.

Ni mwanzo mzuri, na nadhani inatakiwa aendelee hivyo hivyo katika kuelimisha watu. Ndiyo maana, CHADEMA sasa inatakiwa iwe na wahudumu wa kutosha, kuwatengenezea hawa viongozi hizi takwimu muhimu kila watakapokuwa wakizihitaji.
 
Umeona eee.
Umekiri mwenyewe kuwa ALIKAMATWA na AKAKIRI.
Unafahamu maana ya kukiri?
Km hujafanya kosa Unakiri nini...
umeonaa LA James, sasa km ni kosa na mtuhumiwa Ali kiri mbna hakupata adhabu kulingana na hiyo sheriaa?

Haya zile video za kufirana wanafunzi wa IFM ziliwekwa public mbna hawakuchukuliwa hatua, na hata chuoni hawakupewa onyo lolote. Au video za ushoga kuwa public ni ruksaa??

Ku promote ushogaa ni pa1 na kuweka maudhui yake wazi, na hata James alikamatwa kwa kuweka maudhui ya ushoga public, sasa mbna hakupewa adhabu au hukumu kulingana na sheria, na mtuhumiwa alikiri.

Elimu inatakiwa uwe nayoo wee, unatumia hisia badala ya akili. Poleeeeeeeeh

Kwenye ushogaaa hakuna mwenye sauti, hata aliyepo magogoni hawezi thubutuu kutokaa kupingaaa.

mmekamatwaa vibayaaa.
 
hUYU NDIE MWANASIASA PEKEE MTANZANIA ambaye haogopi kusema ukweli kuhusu awamu ya kwanza ilivyotutawala.
"...haogopi kusema ukweli...", unajuaje kwamba anasema ukweli?
Ni nani anayehakiki na kuthibitisha huo unaouita wewe kuwa ni 'ukweli'?
 
Sidhani hiyo ni namna sahihi ya kuthibitisha . Maelezo yake yanawataka watu waende huko alikotaja kuhakikki. Kwa nini asiyoe uthibitisho badala ya reteference, kwa sababu reference hizo unaweza kwenda huko au usipewe au ukakuta si kweli, sasa utampata wapi kuthibitisha.

Pia sehemu alizotaja inabidi usafiri kwenda huko kutegemea uko kona ya Tanzania, kwa nini asiambatanishe vithibitisho au kutoa picha zake!na uhakika gani huko alikosema. Atoe viambatisho na kuacha kujificha kwenye reference ambazo anajuwa hazipatikani.
kwani maana ya kupewa reference ni nini?shida ya sisi watanzania vichwa vyetu ni vigumu.hatutaki kuvishughurisha.nendeni mkafanye marejeo huko mlikoambiwa.kupewa au kutokupewa hizo reference hiyo si kazi ya ATL ni kazi ya mamlaka zingine.
 
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hotuba za Tundu Lisu, Dr Slaa, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe na Komredi Kinana kwa zaidi ya miaka 10 sasa

Kiukweli Uhutubiaji wa Tundu Lisu leo umekuwa wa viwango vya juu sana

Amekuja.na facts na Takwimu pia katuachia rejea

Kwa mfano issue ya Kura amesema Mwenye mashaka na alichosema aende NEC akahakiki

Issue ya kujificha Ubalozi wa German unaweza kwenda Central Police kuhakiki

Issue ya mapori ya Ikungi kuuzwa unaweza kwenda kwa DED kuhakiki

Issue ya Hayati Mkapa kuchota Dollar million 100 unaweza kusoma Kitabu cha Maisha yake ujiridhishe

Leo Tundu Lisu hakuwa mtu wa propaganda na Uzushi kama alivyozoeleka

Akiendelea hivi itabidi CCM imchukue Prof Kabudi awe anajibu hoja za TAL

Leo Lisu amehutubia kama Benjamin Netanyahu wa Israel!

Kongole kwake
Ni Tanzania tu ambapo msaliti anafanyiwa mapokezi
 
Kabudi huyu huyu aliyetuambia kuwa zile dola 300bil tulizokuwa tunawadai barick ni fix za kuuuzia ghahawa kijiweni kwa ustaadh Kijiko?
 
umeonaa LA James, sasa km ni kosa na mtuhumiwa Ali kiri mbna hakupata adhabu kulingana na hiyo sheriaa?

Haya zile video za kufirana wanafunzi wa IFM ziliwekwa public mbna hawakuchukuliwa hatua, na hata chuoni hawakupewa onyo lolote. Au video za ushoga kuwa public ni ruksaa??

Ku promote ushogaa ni pa1 na kuweka maudhui yake wazi, na hata James alikamatwa kwa kuweka maudhui ya ushoga public, sasa mbna hakupewa adhabu au hukumu kulingana na sheria, na mtuhumiwa alikiri.

Elimu inatakiwa uwe nayoo wee, unatumia hisia badala ya akili. Poleeeeeeeeh

Kwenye ushogaaa hakuna mwenye sauti, hata aliyepo magogoni hawezi thubutuu kutokaa kupingaaa.

mmekamatwaa vibayaaa.
Inasikitisha sana sana kuona baadhi ya watanzania km wewe mnatetea USHOGA.

Yaani uko tayari kabisa kaka yako aolewe na mwanamme mwingine au dada yako akasagwe na magdalena.

Hii ni LAANA KUBWA SANA.
SODOMA NA GOMORA ziliangamizwa kabisa na kufutwa kwenye uso wa Dunia kwa Dhambi hii.

Naomba nikuonye tu. Wote wanaotetea au kufanya dhambi hii mwisho wao huwa mbaya sana.

The choice is your but remember this. One day You will pay heavily . God is watching
 
Back
Top Bottom