Wakuu, joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba moto. Tundu Lissu amefungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais.
Naona yupo tayari kukabiliana na Samia kwenye uchaguzi mkuu.
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
chama tawala
heche
john heche
lissulissu 2025
lissu vs samia
mbio za uchaguzi
prof. anna tibaijuka
samia
samia 2025
samia suluhu
samia suluhu hassan
siasa tanzania
suluhu
tanzania
tundutundulissu
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais 2025
vyama vya upinzani
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
Ndugu zangu watanzania,
Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana...
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya...
Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
Kwa muhitasari:
Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana"
Tundu Lissu: "Kwa kuwa alikuwa ni rafiki yangu ktk misingi ya harakati za mapambano ya kisiasa na kwa kuwa...
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.
Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.
Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu
Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI...
Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa Mwanasiasa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA.
Akihojiwa na moja ya Chombo cha Habari hivi Karibuni, TUNDU...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama...
"....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia zaidi kwamba sheria ichukue mkondo wake.”
Lissu akihojiwa Crown na Kikeke.
Maoni yangu: Haya kina...
Kalamu ya: Leah D. Mbeke
Kutoka: CCM Makao Makuu
Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti.
Rais Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.