tundu lissu

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

    Wakuu Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji...
  4. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

    Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
  5. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Power breakfast live wamuhoji Tundu lissu

    Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu kaangukia pua, ahame chama au aunde chama?

    Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali). Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika kushindwa, bali kushinda. He's such a people who believes they are always right. Sasa ikitokea...
  7. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa. huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Hebu tujadili kasoro za mkutano wa Tundu Lissu na waandishi wa habari (Sehemu ya KWANZA)

    Courtesy: SK Media Online TV Saga la Tundu Lissu kutangaza nia kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA (T) ili kumrithi mwenyekiti wa sasa Mh. Freeman Mbowe linaendelea kuzua mjadala ndani na nje ya nchi yetu... Katika video hii, utatazama na kusikiliza uchambuzi murua wa kasoro za mkutano wa...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini. Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview: Tundu Lissu amwakia mwandishi kwa kutokujua maana ya "Tume Huru ya Uchaguzi". Bila mfumo mpya wa uchaguzi hakuna uchaguzi 2025

    Courtesy: Mwanahalisi online TV In summary: 1. Amkemea mwandishi kwa kusisitiza kuwa, serikali ilishafanya mabadiliko waliyoyataka ya kuundwa "Tume Huru ya Uchaguzi". Yeye amkemea na kumwambia: "....kama unaamini kuwa kilichopitishwa na Bunge mwanzoni mwa mwaka huu ni Tume Huru ya Uchaguzi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu unaweza kukabiliwa na assassination attempt nyingine wakasingiziwa CHADEMA kiwa hoja ya maswala ya uchaguzi ndani ya chama

    Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani. Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu...
  17. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

    Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa. Je, ni kweli...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

    Wakuu, Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM?? ==== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho. Akizungumza na...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Back
Top Bottom