tundu lissu

  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hafai kuwa kiongozi kwasababu anatoa hadharani madhaifu ya Chama chake

    Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu Anapotoa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Joto la Uchaguzi CHADEMA Taifa lazidi kupanda, miongoni mwa wanachama wadai ni wakati wa Mbowe kung'atua

    Tetesi za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti wa chama hicho zikiendelea kusambaa, maoni mseto yameibuka miongoni mwa wanachama. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Makambako, Begron Kyando, amesema ni wakati wa Freeman Mbowe kuachia nafasi hiyo baada ya kuongoza kwa muda...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

    Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari. Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae. Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao. Update Ukumbi ni Mlimani City Muda ni saa 5 asubuhi Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini. == "Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi ninatembea na risasi, nitaogopa mawe ya mtandaoni?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Robert Amsterdam amesema huu ni wakati mwafaka kwa Tundu Lissu kuchuana na Freeman Mbowe katika kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama

    Wakuu Salaam Nimekutana na Taarifa kuokea Akaunti ya Mtandao wa X ukiwa na Post inayppnekana kuwa ni ya Robert Amsteram (Mwanasheria wa Tundu Lissu) akitoa maoni kuwa kwa sasa CHADEMA inatakiwa imruhusu Lissu kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa chama: je kuna kuna ukweli hapa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu komaa wewe ndiye mgombea Urais. Anza kufanya kazi ambazo mwenye wajibu na mfariji mkuu hazifanyi kwa kuanza na Muhimbili

    Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje. Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea...
  9. Bezecky

    JamiiForums Tanzania KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Tundu Lissu amesema hakubaliani na lolote litakalozungumzwa na Mbowe

    Wanajamvi salaam Leo nimekutana na hii taarifa inasema Tundu Lissu amesema hakubaliani na lolote litakalozungumzwa na Mbowe, nafikiri haya yanaibuka baada ya vikao vya kamati kuu ya CHADEMA, Je ni uhalisia katika taarifa hii wakulungwa?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai kada wa Chadema aliyeuawa Manyoni ni ndugu wa Mwanajeshi. Maelezo ya Polisi kwamba alifanya fujo sio ya kweli

    ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

    Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo. Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Tundu Lissu amekiri kuwa migogoro ndani ya chama ndiyo chanzo cha kushindwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

    Ni upi uhalisia wa video hizi mbili ambazo nafikiri zimetokana na mahojiano ya Jambo TV na Tundu Lissu kuwa amekiri kuwa migogoro ndani ya chama ndiyo chanzo cha kushindwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
  16. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?

    Ndugu zangu Watanzania, Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu. Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za akina Tundu Lissu, Boniface Jacob, Twaha Mwaipaya, Mdude Nyagali, Pambalu, Sativa, Heche ndizo zimesababisha 4R kusahaulika

    Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana. Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu: Sijutii kushiriki uchaguzi, nimejifunza kupambania mambo ya msingi, Katiba Mpya, mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajutii kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji uliofanyika jana Novemba 27 2024. Lissu ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na jambo TV akisisitiza "sijutii nimejifunza angalau mimi nimejifunza kwamba...
  19. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu aliwaasa kuwa hakuna uchaguzi ila mkampuuza

    Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Walitufanyia mizengwe ili tususie Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi mkoa wa Singida, leo Novemba 26, 2024.
Back
Top Bottom