tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asikae gerezani bure

    Habari zenu mabibi na mabwana. Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki. Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili. Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu is a legend

    Hasalaam aleku. Nimeona nami nitie neno kidogo kwa mahitaji ya wakati. Hapana sili ya kwamba Tundu Lissu is a legend. Tunaweza kukataa kwa sababu za uchawa na vitu kama vile. But in reality Lissu ni mtu hatari sana in a positive way Thamani ya Tundu Lissu itaweza kuonekana baada ya miaka 50...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kusikilizwa Mahakama Kuu, Septemba 8, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali. Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
  6. JamiiForums Tanzania Bila kuondolewa, Kuanzia 2026 Ajira zisingekuwepo, Watumishi wangeishi kitumwa, Tozo zingezidi , Utekaji na Mauaji vingekithiri , Nchi ingefungwa

    Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake . Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic . Makanisa yangefungiwa zaidi . Utekaji na Mauaji, Hapa ndo uspime, kuanzia 2026 tungeshuhudia Nawaambia...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mahakama Kuu yapanga Tarehe 12/09/2025 kuanza kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko. Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia hajaapishwa, si ni mhaini, mnajibaraguza nini sasa? Shukrani kwa Wadau wa Dunia nzima waliopambania Jambo...
  8. JamiiForums Tanzania Linganisha mapokezi: Tundu Lissu vs Samia Suluhu Hassan; TL - pure Organic/original vs SSH - Artificial kulazimisha watu

    TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nk👇🏻👇🏻👇🏻 https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu. Asema kesi yake ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania

    Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania Na Tundu Lissu 28 Agosti 2025 Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua wazo: wazo kwamba Watanzania wanastahili uchaguzi huru na wa haki, viongozi wanaowajibika, na nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

    Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo. Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Muachieni Lissu, sasa inatosha!

    Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma! Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, inakuwa ngumu zaidi kwa upinzani kuchukua madaraka

    Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa sababu hii, na baada ya kuona kua wanaweza fanya chochote kwenye figisu na hakuna impact, ni ngumu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Heri maziwa uliyonyonya na tumbo lililokuzaa Tundu Lissu.

    Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika. Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo. Mungu aliyeanzisha nia hiyo ya ukombozi wa Nchi hii ndani yako, yeye mwenyewe na akaikamilishe nia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

    Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi! Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

    Hamjambo! Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea. Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao. Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Wasingeweza kumuachia Tundu Lissu bila Mama kuonekana kakutana na watu fulani waliomuomba amuchie Lissu

    Raisi wa TLS na huyo Kadinali wa Katoliki watakuwa wamempa Mama hii advantage bila wao kujua. Kumuachia Lissu bila kuonekana kuna watu wamemuomba Mama ingekuwa ni fedheha kwa watawala kuwa wamesalimu amri kutokana na pressure iliyopo na zaid Lissu hakusalimu amri Subirini kuona Lissu anaachiwa...
  18. JamiiForums Tanzania BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  20. JamiiForums Tanzania Polepole, elewa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akalale na mkewe, urekebisha kauli zako lasivyo usimtaje, pambana na genge la wahuni wako

    Ukiwa unaitaka imwachie akakae na mkewe, nataka kukujulisha Polepole yakuwa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akakae mkewe yeye anapigania awe huru tuingie BARABARANI tukaitoe CCM madarakani.over Ukome kumtamka, au ukimtamka mtamke kwa adabu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…