Hii habari ya Tanzania ya Magufuli kujitoa kwenye Mkataba wa Uanzilishi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Wananchi ni jambo kubwa sana. Ni ushahidi mwingine wa wazi wa utawala wa kiimla unaokanyaga haki za binadamu na za wananchi wetu.
Kwa Mkataba huo tuliouridhia siku za mwisho...
Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA.
Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge.
Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
WanaJF
Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha.
Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya!
Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu!
VIVA TUNDU!
Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula.
Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU
SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO
NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA
MSIKURUPUKE KUJA HUMU
KAMA MKO...
Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli!
Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
Hii ni Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu aliyoitoa jana katika Maadhimisho ya Miaka miwili tangu aliposhambuliwa na watu wasiojulikana pale Dodoma. Mheshimiwa ameongea mambo mengi ikiwemo Suala la Tarehe rasmi ya kurudi Nyumbani, Mheshimiwa amesema watu wengi walimshauri arudi nyumbani kimya...
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
Tundu Lissu ametangaza rasmi kumuunga mkono Dk Rugemeleza Nshala kuelekea uchaguzi wa TLS. Dk Nshala ambaye anagombea kukirithi kiti cha Wakili Msomi Fatuma Karume cha Urais kwa sasa ndiye makamu wa Rais wa TLS.
Katika andiko lake Lissu amemsafisha Dk Nshala kwa tuhuma zilizokuwa zikisambazwa...
Makala murua kabisa ya kaka mkubwa Jenerali Ulimwengu gazeti la The East African:
Soma hapa chini kama unaelewa kiingereza - ila kama ni akina Msukuma wanaosema Reli ya "Stieglers Gorge" unastahili pole:
Nukuu tu kidogo:
"I suspect that the people who shot this man in September 2017 are the...
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine...
Tundu Lissu akipelekwa Nairobi
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
Habari Wakuu,
Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea.
Kujua kilichojiri...
Habari waungwana,
Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...